-
Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake
Oct 22, 2022 12:25Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.
-
Maulamaa wa India wakosoa hatua za serikali ya Modi dhidi ya Waislamu
Oct 16, 2022 02:25Jumuiya ya maulamaa wa Kiislamu wa India imewataka viongozi wa nchi hiyo katika jimbo la Utta Pradesh wakomeshe kile ilichokiita "hatua ya upande mmoja" dhidi ya Waislamu.
-
India yaipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo
Sep 29, 2022 12:09India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
-
Ukosoaji wa Waziri Mkuu wa Pakistan kuhusu kuenezwa chuki dhidi ya Waislamu
Sep 26, 2022 03:05Waziri Mkuu wa Pakistan ametaka kukomeshwa mara moja chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, hasa nchini India.
-
Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea
Sep 15, 2022 02:29Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.
-
Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia
Sep 03, 2022 04:26Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.
-
Askari wanne wa India wauawa Kashmir inayokaliwa na India
Aug 12, 2022 12:14Askari wanne wa India wameuawa katika eneo la Kashmir linalokaliwa na kudhibitiwa na nchi hiyo.
-
Pakistan: Kauli ya waziri wa ulinzi wa India kuhusu Kashmir ni ya kichochezi
Jul 26, 2022 11:18Wizara ya mambo ya nje ya Pakistan imesema kauli aliyotoa waziri wa ulinzi wa India, kwamba eneo la Kashmir ni milki ya nchi hiyo ni ya kichochezi.
-
Licha ya hukumu ya mahakama, mwandishi Muislamu mkosoaji wa serikali ya India aendelea kusota rumande
Jul 17, 2022 02:14Mohammed Zubair, mwandishi wa habari Muislamu raia wa India, ambaye ni mkosoaji wa waziri mkuu wa nchi hiyo Narendra Modi, ameendelea kuwekwa kizuizini licha ya kutolewa hukumu na mahakama ya kuamuru aachiliwe huru.
-
Kukataa India ombi la Marekani
Jul 16, 2022 08:34India imekataa ombi la Marekani ambayo iliitaka nchi hiyo iziwekee vikwazo meli za Russia.