-
Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili
Jun 06, 2022 10:13Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.
-
Iran yamuita balozi wa India kulalamikia kauli za kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Jun 06, 2022 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa India mjini Tehran kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 20, 2022 01:20Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Jumatano tarehe 18 Mei mwaka 2022
May 18, 2022 03:02Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria inayodifiana na tarehe 18 Mei mwaka 2022.
-
Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu
May 11, 2022 02:40Serikali ya Singapore imepiga marufuku kuonyeshwa nchini humo filamu ya sinema ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
-
Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa
Apr 18, 2022 13:07Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu imewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya India, ikiitaka kuingilia kati baada ya matingatinga na serikali kuharibu mali na milki za Waislamu wanaotuhumiwa kuhusika na ghasia katika majimbo yanayoongozwa na chama cha Waziri Mkuu, Narendra Modi cha Bharatiya Janata Party (BJP).
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 07:03Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.
-
Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki
Mar 30, 2022 11:48Wimbi la kejeli na hasira limetanda katika mitandao ya kijamii nchini India baada ya mahakama kufunga kesi dhidi ya wanasiasa wawili waliotoa matamshi ya kichochezi dhidi ya Waislamu, ikisema kuwa uchochezi si kauli za chuki ukiambatana na tabasamu.
-
Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India
Mar 30, 2022 07:05Wanaharakati wa mawakili wa Kiislamu nchini India wameenda katika Mahakama ya Kilele ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka, kuukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuidhinisha marufuku ya vazi la hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.
-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 20, 2022 02:43Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.