-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 19, 2022 20:50Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Jumatano tarehe 18 Mei mwaka 2022
May 17, 2022 22:32Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria inayodifiana na tarehe 18 Mei mwaka 2022.
-
Singapore yapiga marufuku kuonyeshwa filamu ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu
May 10, 2022 22:10Serikali ya Singapore imepiga marufuku kuonyeshwa nchini humo filamu ya sinema ya Kihindi inayoeneza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
-
Waislamu wa India wapeleka mahakamani mabuldoza hatari ya kisiasa
Apr 18, 2022 08:37Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu imewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya India, ikiitaka kuingilia kati baada ya matingatinga na serikali kuharibu mali na milki za Waislamu wanaotuhumiwa kuhusika na ghasia katika majimbo yanayoongozwa na chama cha Waziri Mkuu, Narendra Modi cha Bharatiya Janata Party (BJP).
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 02:33Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.
-
Waislamu India wakasirishwa na uamuzi wa mahakama ulioidhinisha matamshi ya chuki
Mar 30, 2022 07:18Wimbi la kejeli na hasira limetanda katika mitandao ya kijamii nchini India baada ya mahakama kufunga kesi dhidi ya wanasiasa wawili waliotoa matamshi ya kichochezi dhidi ya Waislamu, ikisema kuwa uchochezi si kauli za chuki ukiambatana na tabasamu.
-
Waislamu wapinga mahakamani marufuku ya vazi la hijabu shuleni India
Mar 30, 2022 02:35Wanaharakati wa mawakili wa Kiislamu nchini India wameenda katika Mahakama ya Kilele ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka, kuukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuidhinisha marufuku ya vazi la hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.
-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 19, 2022 23:13Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.
-
Kupasishwa marufuku ya vazi la hijabu katika shule za kusini mwa India
Mar 16, 2022 22:52Mahakama ya Juu ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka imeidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.
-
Marufuku ya hijabu katika skuli za serikali kusini ya India yaidhinishwa rasmi na mahakama
Mar 15, 2022 09:56Siku kadhaa baada ya skuli za jimbo la Karanatka la kusini mwa India kuwapiga marufuku wanafunzi wanawake Waislamu kuvaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu, mahakama ya nchi hiyo imeidhinisha rasmi uamuzi huo.