Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • Muigizaji wa India akamatwa kwa kutoa maoni kuhusu kesi ya marufuku ya hijabu

    Muigizaji wa India akamatwa kwa kutoa maoni kuhusu kesi ya marufuku ya hijabu

    Feb 24, 2022 23:49

    Muigizaji na mwanaharakati wa India, Chetan Kumar Ahimsa amekamatwa na polisi kwa madai ya kuchapisha ujumbe wa Twitter akimkosoa mmoja wa majaji wanaosikiliza maombi ya kupigwa marufuku vazi la hijabu mashuleni.

  • 38 wahukumiwa kifo India kwa kuhusika na miripuko ya mabomu ya 2008 mjini Ahmedabad

    38 wahukumiwa kifo India kwa kuhusika na miripuko ya mabomu ya 2008 mjini Ahmedabad

    Feb 18, 2022 23:27

    Mahakama moja nchini India imetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa watu 38 na ya kifungo cha maisha jela kwa wengine 11 kwa kuhusika na uripuaji mabomu uliotokea mwaka 2008 katika mji wa Ahmedabad magharibi mwa nchi hiyo ambao ulisababisha vifo vya makumi ya watu.

  • Maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu shuleni yaenea kote India

    Maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu shuleni yaenea kote India

    Feb 13, 2022 23:51

    Maandamano ya kulaani hatua ya skuli kadhaa katika jimbo la Karnataka kusini mwa India kuwazuia wasichana Waislamu wanaovaa hijabu wasiingie madarasani kwa kisingizio cha kutekeleza amri ya wizara ya elimu ya jimbo hilo, yameenea katika pembe mbalimbali za nchi hiyo ya Asia.

  • Mahakama Kuu ya India na mtihani mgumu wa kutekeleza sheria au kuchagua misimamo ya kuchupa mipaka

    Mahakama Kuu ya India na mtihani mgumu wa kutekeleza sheria au kuchagua misimamo ya kuchupa mipaka

    Feb 13, 2022 00:46

    Kushadidi kwa mizozo na hitilafu juu ya vazi la hijabu la wasichana na wanawake wa Kiislamu katika vyuo na taasisi za elimu katika jimbo la Karnataka huko kusini mwa India kumezusha hali ya wasiwasi na hofu kwa jamii za Waislamu nchini humo.

  • HRW yakosoa marufuku ya vazi la hijabu nchini India

    HRW yakosoa marufuku ya vazi la hijabu nchini India

    Feb 11, 2022 23:29

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa marufuku ya vazi la hijab inakiuka wajibu wa India chini ya sheria ya kimataifa ya haki za binadamu, ambayo inadhamini haki ya uhuru wa imani ya kidini ya mtu binafsi na uhuru wa kujieleza na kupata elimu bila ubaguzi.

  • Wimbi la hasira laibuka India baada ya mwanafunzi kubughudhiwa na wahuni kwa kuvaa hijabu

    Wimbi la hasira laibuka India baada ya mwanafunzi kubughudhiwa na wahuni kwa kuvaa hijabu

    Feb 09, 2022 09:53

    Video iliyowekwa kwenye mtandao wa Twitter ikimuonyesha mwanafunzi Muislamu aliyevaa hijabu akibughudhiwa kwa maneno na genge la wahindu wenye misimamo ya kufurutu mpaka katika chuo kimoja cha jimbo la Karnataka nchini India, imezusha moto wa hasira na kuzidisha malalamiko ya kupinga marufuku ya uvaaji hijabu iliyowekwa katika taasisi za elimu za jimbo hilo.

  • Chuo kingine India chazuia wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu

    Chuo kingine India chazuia wanafunzi Waislamu kuvaa Hijabu

    Feb 05, 2022 01:06

    Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuendekeza misimamo ya chuki na kufurutu ada ya serikali ya waziri mkuu wa India Narendra Modi, wanafunzi Waislamu wanaovaa hijabu wamepigwa marufuku kuingia madarasani katika chuo kimoja katika jimbo la Karnataka, kusini mwa India.

  • Wanafunzi Waislamu wapigwa marufuku kuvaa Hijabu katika chuo cha serikali India

    Wanafunzi Waislamu wapigwa marufuku kuvaa Hijabu katika chuo cha serikali India

    Jan 21, 2022 09:49

    Wanachuo Waislamu wanaovaa hijabu wamepigwa marufuku kuingia madarasani katika chuo cha serikali cha Udupi kilichoko kwenye jimbo la Karnataka kusini-magharibi ya India.

  • Wito wa Wahindu wa kutekelezwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu waibua hasira

    Wito wa Wahindu wa kutekelezwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu waibua hasira

    Dec 25, 2021 01:02

    Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.

  • India yawapatia uraia wasio Waislamu kutoka Afghanistan, Pakistan na Bangladesh

    India yawapatia uraia wasio Waislamu kutoka Afghanistan, Pakistan na Bangladesh

    Dec 23, 2021 04:38

    Serikali ya India imesema imewapatia uraia watu elfu tatu, ambao ni raia wa jamii za wachache katika nchi za Afghanistan, Pakistan na Bangladesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS