Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mipaka ya Iran na Pakistan kubadilishwa kuwa ya kiuchumi na kiurafiki

    Mipaka ya Iran na Pakistan kubadilishwa kuwa ya kiuchumi na kiurafiki

    Jan 31, 2024 23:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, juhudi zinafanyika kuhakikisha kwamba, mipaka ya nchi yake na Pakistan inabadilika na kuwa ya kiuchumi, amani na urafiki.

  • Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Iran: US inajua ni 'suluhisho la kisiasa' tu ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza

    Jan 30, 2024 23:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Marekani inajua vyema kwamba ni suluhisho la kisiasa pekee ndilo linaloweza kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kumaliza mgogoro unaoikumba Asia Magharibi.

  • Nchi tatu za Ulaya zapinga ustawi wa Iran katika sekta ya anga za mbali

    Nchi tatu za Ulaya zapinga ustawi wa Iran katika sekta ya anga za mbali

    Jan 28, 2024 23:31

    Katika taarifa ya pamoja, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, ambazo kidiplomasia zinajulikana kama Troika ya Ulaya, zimelaani hatua ya Iran wiki iliyopita ya kurusha satalaiti ya Soraya au Thurayya katika mzunguko wa kilomita 750 kutoka ardhini kwa kutumia roketi ya "Qaim 100".

  • Iran yatuma angani satalaiti tatu kwa mafanikio

    Iran yatuma angani satalaiti tatu kwa mafanikio

    Jan 28, 2024 10:01

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutuma angani satalaiti tatu kwa mpigo zilizotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini.

  • Kan'ani: Mashirika ya 'haki za binadamu' ya Magharibi hayana tena itibari

    Kan'ani: Mashirika ya 'haki za binadamu' ya Magharibi hayana tena itibari

    Jan 28, 2024 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mashirika yanayojidai kuwa ya kutetea haki za binadamu katika nchi za Magharibi yamepoteza itibari na uhalali wao kwa kufumbia macho jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Tehran: Iran na Pakistan hazitaruhusu maadui waharibu uhusiano wao wa kindugu

    Tehran: Iran na Pakistan hazitaruhusu maadui waharibu uhusiano wao wa kindugu

    Jan 28, 2024 04:24

    Kufuatia shambulio lililowalenga raia wa Pakistan ndani ya Iran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran na Islamabad hazitavumilia chokochoko za kuharibu uhusiano wa nchi hizo mbili.

  • Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran

    Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran

    Jan 28, 2024 01:05

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja msingi wa uhusiano wa Tehran na nchi za Kiafrika kuwa ni mungamano wa kiroho baina ya mataifa hayo na kwamba uhusiano huo ni moja ya mihimili mikuu ya siasa za nje za Iran.

  • Jumapili, 28 Januari, 2024

    Jumapili, 28 Januari, 2024

    Jan 27, 2024 23:02

    Leo ni Jumapili 16 ya mwezi Rajab 1445 Hijria mwafaka na 28 Januari 2024 Miladia.

  • Kan'ani: Msingi wa Israel umejengwa kwa kutegemea mabavu na ubaguzi

    Kan'ani: Msingi wa Israel umejengwa kwa kutegemea mabavu na ubaguzi

    Jan 27, 2024 08:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jibu la kiuhasama lililotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) linaonyesha namna msingi wa utawala huo ulivyojengwa kwa kutegemea vitendo vya mabavu na ubaguzi; na wakati huo huo unadhihirisha namna utawala huo usivyoheshimu kanuni na sheria za kimataifa.

  • Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa ushindi wake katika mahakama ya ICJ dhidi ya Israel

    Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa ushindi wake katika mahakama ya ICJ dhidi ya Israel

    Jan 27, 2024 03:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza mafanikio ya kidiplomasia ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu na kuwataka mawaziri wenzake wa mashauri ya kigeni duniani kuunga mkono hatua hiyo ya Afrika Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS