-
Jumatano, 06 Januari, 2021
Jan 05, 2021 23:15Leo ni Jumatano tarehe 22 Jamadil Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 6 Januari 2021.
-
Jumanne tarehe 5 Januari 2021
Jan 04, 2021 23:15Leo ni Jumanne tarehe 21 Jamadil Awwal 1442 Hijria sawa na Januri 5 mwaka 2021.
-
SAUTI: Warsha ya kumbukumbu ya mauaji ya kigaidi ya Shahidi Suleimani yafanyika Tanzania
Jan 04, 2021 13:33Kitendo cha Wamerekani kumuua Hajj Qasim Suleiman ni cha kigaidi, ijapokuwa kilifanywa na wanajeshi halali wa Marekani kwa amri ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump.
-
Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Jan 04, 2021 12:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yaanza kurutubisha urani kwa asilimia 20 katika kituo cha Fordow
Jan 04, 2021 12:16Msemaji wa serikali ya Iran ametangaza rasmi habari ya kuanza kurutubishwa tena madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 20 katika kituo cha nyuklia cha Fordow, kilichoko kaskazini mashariki mwa mji wa Qum kusini mwa mji mkuu wa nchi hii, Tehran.
-
Kupinga Marekani kupasishwa bajeti ya Umoja wa Mataifa
Jan 03, 2021 23:59Katika kipindi cha uongozi wake, Rais Donald Trump wa Marekani ameukosoa mara chungu nzima Umoja wa Mataifa pamoja na utendaji wake na hata kutishia kupunguza msaada wa nchi yake kwa asasi hiyo ya kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Iran italipiza kisasi cha kuuawa shahidi Jenerali Suleimani
Jan 03, 2021 04:40Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa, hakuna chembe ya shaka kuwa Jamhuri ya Kiislamu italipiza kisasi cha kuuawa kigaidi Shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran
Jan 03, 2021 03:06Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.
-
Onyo kali la Zarif kwa Trump: Uchezeaji moto wa namna yoyote ile utakabiliwa na jibu kali
Jan 02, 2021 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa onyo kali kwa rais wa Marekani akisisitiza kuwa; uchezeaji moto wa namna yoyote ile utakabiliwa na jibu kali la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi
Jan 01, 2021 00:47Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kisasi cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC kitakuwa kikali na wala hakina muda wa kumalizika.