Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq

    Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq

    Oct 29, 2020 03:23

    Maelfu ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu.

  • Ayatullah Larijani ataka Waislamu waungane kukabili chuki dhidi yao

    Ayatullah Larijani ataka Waislamu waungane kukabili chuki dhidi yao

    Oct 28, 2020 04:22

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amelaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha kifidhuli cha jarida la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuna udharura wa Waislamu kuwa na umoja na ushirikiano katika kukabiliana na chuki dhidi yao na Uislamu.

  • Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli

    Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli

    Oct 28, 2020 04:15

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama mpya za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kutoa pigo kwa Iran kupitia uanzishwaji wa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv, zitagonga mwamba.

  • Hotuba ya Zarif kwa mnasaba wa miaka 75 ya kuasisiwa UN; kubainisha wasiwasi na matumaini

    Hotuba ya Zarif kwa mnasaba wa miaka 75 ya kuasisiwa UN; kubainisha wasiwasi na matumaini

    Oct 28, 2020 00:51

    Umoja wa Mataifa uliasisiwa miaka 75 iliyopita ukiwa na malengo mawili. Mosi kulinda na kuimarisha amani duniani.

  • Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran

    Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran

    Oct 27, 2020 09:02

    Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi katika mji mkuu wa Iran, Tehran ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.

  • Kukiri Marekani kuishiwa na vikwazo vya kuipigisha magoti Iran

    Kukiri Marekani kuishiwa na vikwazo vya kuipigisha magoti Iran

    Oct 27, 2020 02:34

    Baada ya rais wa Marekani kutangaza kuitoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 na kuirejeshea Iran vikwazo vyote ilivyokuwa imeondolewa baada ya mapatano hayo, Donald Trump na serikali yake walidhani kwa njia hiyo wataweza kutimiza kiurahisi ndoto yao ya kupigisha magoti Tehran na kuilazimisha ikubali mapatano yanayotakiwa na Washington. Hata hivyo ndoto hiyo kamwe haikuaguka.

  • Shamkhani: Kauli za Macron dhidi ya Uislamu zinaonyesha ni mwanagenzi wa siasa

    Shamkhani: Kauli za Macron dhidi ya Uislamu zinaonyesha ni mwanagenzi wa siasa

    Oct 26, 2020 08:06

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu yanayotolewa na Rais Emmanuel Macron yamedhihirisha uanagenzi wa kisiasa alionao kiongozi huyo wa Ufaransa.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 26

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 26

    Oct 26, 2020 04:54

    Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....

  • Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu yalaani Ufaransa kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu yalaani Ufaransa kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW

    Oct 26, 2020 04:07

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu Ali Akbar Velayati ametoa taarifa na kualaani wakuu wa Ufaransa ambao wamemvunjia heshima Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad SAW.

  • Umoja wa Redio na TV za Kiislamu: Tutaendelea kuwa sauti ya wanaodhulumiwa duniani

    Umoja wa Redio na TV za Kiislamu: Tutaendelea kuwa sauti ya wanaodhulumiwa duniani

    Oct 24, 2020 11:17

    Umoja wa Redio na Televisheni za Kiislamu umelaani hatua isiyo ya kisheria iliyochukuliwa na Marekani ya kuuwekea vikwazo umoja huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS