-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi
Oct 24, 2020 04:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuwekea vikwazo Balozi wa Marekani nchini Iraq, Matthew Tueller kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Jumamosi, 24 oktoba, 2020
Oct 23, 2020 23:04Leo ni Jumamosi tarehe 7 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria mwafaka na tarehe 24 Oktoba 2020 Miladia.
-
Balozi wa Iran: Hatua za upande mmoja za Marekani zinahatarisha utawala wa sheria
Oct 23, 2020 03:56Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema uchukuaji maamuzi ya upande mmoja wa Marekani unahatarisha utawala wa sheria katika ngazi ya kimatiaifa.
-
Ijumaa tarehe 23 Oktoba 2020
Oct 22, 2020 23:33Leo ni Ijumaa tarehe 6 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 23 Oktoba mwaka 2020.
-
Taathira za vikwazo vya Marekani kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)
Oct 22, 2020 09:22Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema kuwa, Mfuko wa Fedha Kimataifa (IMF) unapaswa kujibu ombi la Iran la kupewa mkopo kutoka kwenye bajeti ya dharura ya IMF kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya corona, na usikubali kuathiiwa na lobi za kisiasa na mashinikizo ya Marekani.
-
Ndege za kivita za Iran zashiriki kwa ufanisi mkubwa katika luteka
Oct 22, 2020 08:56Kamanda wa Kikosi cha la Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndege za jeshi hilo zinashiriki kwa ufanisi mkubwa katika maneva na luteka ya kijeshi ya pamoja na Walinzi wa Anga ya Velayat-99.
-
Trump arudia ndoto zake za kuzungumza na Iran
Oct 22, 2020 08:55Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine amerudia ndoto yake ya kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo atashinda urais.
-
Zaidi ya wagonjwa wapya 5,000 wa corona wagunduliwa nchini Iran
Oct 22, 2020 08:54Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 5,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 304 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti
Oct 22, 2020 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.
-
Iran yakanusha madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani, yasema hauna umuhimu kwake
Oct 22, 2020 04:12Msemaji wa Ofisi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaingilia uchaguzi wa Marekani.