Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran

    Mkutano wa siri wa Marekani, UAE na Israel kujadili njama dhidi ya Iran

    Feb 05, 2020 04:19

    Kumefanyika mkutano wa siri kati ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kujadili njama dhidi ya Iran.

  • Waziri wa Ulinzi Iran: Adui ameondoa mezani chaguo la mazungumzo

    Waziri wa Ulinzi Iran: Adui ameondoa mezani chaguo la mazungumzo

    Feb 04, 2020 10:21

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, adui ameondoa mezani chaguo la kufanya mazungumzo baada ya Marekani kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) sambamba na Iran kutoa jibu kali kwa ugaidi huo wa Washington.

  • Mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya yuko safarini Iran

    Mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya yuko safarini Iran

    Feb 03, 2020 08:16

    Josep Borell, mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya leo Jumanne amewasili Iran ikiwa ni safari yake ya kwanza humu nchini baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 3

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 3

    Feb 03, 2020 04:43

    Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....

  • Mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa EU kuitembelea Iran kwa mara ya kwanza

    Mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa EU kuitembelea Iran kwa mara ya kwanza

    Feb 02, 2020 03:55

    Mkuu mpya wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya anatazamiwa kuwasili hapa mjini Tehran kesho Jumatatu, kujadili masuala yenye umuhimu kwa pande mbili na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • IRGC: 'Majeraha ya Ubongo' ni njia ya kuficha idadi ya askari wa Marekani waliouawa katika hujuma ya makombora ya Iran

    IRGC: 'Majeraha ya Ubongo' ni njia ya kuficha idadi ya askari wa Marekani waliouawa katika hujuma ya makombora ya Iran

    Feb 01, 2020 10:08

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema madai ya Marekani kuhusu idadi kubwa ya wanajeshi wake waliopata 'majeraha ya ubongo' kufuatia makombora ya Iran ya ulipizaji kisasi yaliyolenga kituo cha kijeshi cha Ain al Assad nchini Iraq ni njia ya kuficha idadi ya wanajeshi waliouawa katika oparesheni hiyo.

  • Kuvuka sekta ya nyuklia ya Iran vikwazo haramu na vya kidhalimu vya Marekani

    Kuvuka sekta ya nyuklia ya Iran vikwazo haramu na vya kidhalimu vya Marekani

    Jan 31, 2020 21:46

    Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza sera zake za ukiukaji sheria, zilizofeli na kugonga mwamba kwa kumwekea vikwazo Ali Akbar Salehi, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI).

  • Ijumaa tarehe 31 Januari 2020

    Ijumaa tarehe 31 Januari 2020

    Jan 30, 2020 22:51

    Leo ni Ijumaa tarehe 5 Jamadithani 1441 Hijria sawa na Januari 31 mwaka 2020.

  • Mpango wa

    Mpango wa "Muamala wa Karne" na udharura wa kuwepo umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kuitetea Palestina

    Jan 30, 2020 03:31

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo siku zote imekuwa mtetezi halisi wa kadhia ya Palestina imezidisha harakati zake za kufanya mashauriano ya kidiplomasia na pande nyingine kwa shabaha ya kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne" uliotangazwa na Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Muamala wa Karne; usaliti wa wazi dhidi ya Palestina kutokana na makosa ya kistratijia ya baadhi ya Waarabu

    Muamala wa Karne; usaliti wa wazi dhidi ya Palestina kutokana na makosa ya kistratijia ya baadhi ya Waarabu

    Jan 29, 2020 08:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kile kinachotajwa kuwa 'Muamala wa Karne' kwa hakika ni 'Hiana na Usaliti' dhidi ya taifa la Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS