-
Saudia yaipongeza Marekani kwa mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani
Jan 28, 2020 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameipongeza Marekani kwa kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) pamoja na wanzake kadhaa nchini Iraq.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 27
Jan 27, 2020 04:38Soma habari za spoti za ndani na nje ya Iran ndani ya siku saba zilizopita kwa kina......
-
Wamarekani wafanya maandamano katika majimbo 40 kupinga siasa mbovu za Trump dhidi ya Iran
Jan 27, 2020 01:12Raia wa Marekani katika majimbo 40 ya nchi hiyo wamemiminika mitaani katika maandamano makubwa ya kupinga siasa mbovu za serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mbunge wa Kogresi ya Marekani: Matamshi ya Trump kuhusu askari waliojeruhiwa Ain Al-Assad yalikuwa mabaya sana
Jan 27, 2020 00:56Mwakilishi wa bunge la Kongresi kutoka jimbo la Texas nchini Marekani amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump aliyoyatoa kuhusiana na madhara waliyoyapata askari wa Kimarekani katika shambulio la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Ain Al-Assad na kuyataja kuwa 'mabaya sana.'
-
Maandamano dhidi ya sera ya kupenda vita ya Marekani yafanyika duniani
Jan 26, 2020 09:34Maandamano yameshuhudiwa katika nchi mbalimbali duniani kupinga sera ya kupenda vita ya Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga hatua yoyote ya Washington ya kuanzisha vita na Iran.
-
Pentagon yakiri tena: Makumi ya askari wa Marekani walipatwa na madhara katika shambulio la makombora la Iran
Jan 25, 2020 23:21Alfajiri ya Jumatano Januari 8 mwaka huu Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya Ain al Asad huko Iraq ikiwa ni katika kutimiza ahadi yake ya kulipiza kisasi kikali cha mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na serikali ya Trump dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wenzake huko Baghdad.
-
Idadi ya askari wa Marekani waliojeruhiwa katika jibu la Iran 'yaongezeka'
Jan 25, 2020 04:04Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema makumi ya askari wa nchi hiyo walijeruhiwa na kupatwa na matatizo ya kisaikolojia kufuatia shambulizi la makombora la Iran dhidi ya kambi mbili za kijeshi za nchi hiyo huko Iraq mapema mwezi huu, licha ya utawala wa Washington hapo awali kudai kuwa hakuna askari wake hata mmoja aliyeuawa au kujeruhiwa katika majibu hayo makali ya ulipizaji kisasi yaliyotolewa na Iran.
-
Mtetemeko mkubwa wa ardhi waua 19 Uturuki, Iran tayari kutuma misaada ya dharura
Jan 25, 2020 01:19Mtetemeko mkubwa wa ardhi umetikisa mkoa wa Elazig mashariki mwa Uturuki na kuua watu wasiopungua 19 na kupelekea wengine wengi kujeruhiwa na idadi kubwa ya nyumba kubomoka.
-
Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani
Jan 24, 2020 13:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).
-
Msimamo wa Ulaya kuhusu JCPOA, sera ya mielekeo kinzani yenye hatima moja
Jan 23, 2020 08:30Hatua ya hivi karibuni ya troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ya kuanza kutekeleza utaratibu wa kutatua tofauti ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, ambayo imeanzishwa kwa mashinikizo ya Marekani, imekabiliwa na radiamali kali ya Iran.