-
Iran na Saudia ziko tayari kwa mazungumzo ya kutatua mivutano katika uhusiano wao
Jan 23, 2020 04:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kila moja imetangaza kuwa iko tayari kufanya mazungumzo kwa ajili ya kutatua mivutano iliyopo katika uhusiano wa pande mbili.
-
Mtoto alizaliwa Iran, baada ya kiinitete (embryo) chake kuhifadhiwa kwa muda wa miaka 13
Jan 22, 2020 11:20Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran
Jan 22, 2020 09:08Rais Hassan Rouhani amesema wananchi wa Iran ndio chimbuko la kweli na halisi la nguvu na uwezo mkubwa wa taifa hili.
-
Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran
Jan 22, 2020 03:16Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba, madai yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba Iran ilikuwa na nia ya kushambulia balozi nne za Marekani yamewashangaza na kuwaacha bumbuazi hata washauri wake mwenyewe.
-
Iran imeuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32
Jan 21, 2020 21:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32 katika kipindi cha mwaka huu wa Hijria Shamsia ambao unatazamiwa kumalizika Machi 21 2020.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 20
Jan 20, 2020 03:43Matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita......
-
Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu "Ghuba ya Uajemi"
Jan 19, 2020 04:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa somo la jiografia na kumkosoa kwa kupotosha historia.
-
Mexico yatupilia mbali tuhuma za Marekani dhidi ya Iran
Jan 18, 2020 23:27Wizara ya Mambo ya Nje ya Mexico imetupilia mbali madai ya hivi karibuni ya gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal kuhusiana na upenyaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Amerika ya Latini.
-
Njama za Marekani za kutaka kuficha hasara kubwa za shambulizi la makombora ya Iran huko Ainul Asad
Jan 18, 2020 09:13Katika jitihada zake za kutimiza ahadi ya kulipiza kisasi kikali dhidi ya Marekani kutokana na mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na nchi hiyo dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wana jihadi wenzake, Alfajii ya Jumatano tarehe 8 Januari Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilishambulia kambi kubwa zaidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Iraq ya Ainul Asad.
-
Hotuba za Kiongozi Muadhamu Katika Sala ya Ijumaa Tehran; ubainishaji wa nguvu na adhama ya Iran
Jan 18, 2020 04:23Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika hotuba zake za Sala ya Ijumaa wiki hii mjini Tehran, alisema: "Kushiriki kimuujiza taifa la Iran katika mazishi ya shahidi mtoharifu Qassem Soleimani na wenzake na pia jibu kali la IRGC lililotolewa kwa kushambulia kituo cha Ainul Assad cha Jeshi la Marekani (nchini Iraq) ni siku mbili ambazo zinaweza kutajwa kuwa Siku za Mwenyezi Mungu (Ayamullah). Siku hizi zimejaa somo na ibra na ni za kuainisha hatima."