Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran

    Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran

    Dec 23, 2025 10:03

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amewasilisha rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran (kuanzia Machi 21, 2026) katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).

  • Baqaei: Uwezo wa kujihami wa nchi si wa kujadiliwa; Vikosi vya ulinzi vimejiandaa kikamilifu kulilinda taifa

    Baqaei: Uwezo wa kujihami wa nchi si wa kujadiliwa; Vikosi vya ulinzi vimejiandaa kikamilifu kulilinda taifa

    Dec 22, 2025 07:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa uwezo wa kiulinzi wa nchi hii kimsingi umeratibiwa kwa lengo la kuzuia mashambulizi yoyote ya wavamizi na si suala la kujadiliwa.

  • Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean

    Iran, Venezuela zalaani 'uharamia' wa Marekani Caribbean

    Dec 21, 2025 07:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na mwenzake wa Venezuela, Yvan Gil Pinto wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu ambapo wamelaani uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Caribbean, wakiishutumu Washington kwa kukiuka sheria za kimataifa, na kusisitiza dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa pande mbili katika kupinga sera za upande mmoja.

  • Iran yamnyonga ajenti wa Mossad aliyekuwa akiifanyia ujasusi Israel

    Iran yamnyonga ajenti wa Mossad aliyekuwa akiifanyia ujasusi Israel

    Dec 20, 2025 09:32

    Idara ya Mahakama ya Iran imetangaza kuwa ajenti wa Shirika la Ujasusi la Israel (Mossad) aliyepatikana na hatia ya kuufanyia ujasusi utawala wa Israel, amenyongwa baada ya kukamilika kwa taratibu zote za kisheria.

  • Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani

    Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani

    Dec 18, 2025 06:57

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa yaungane ili maadui wasiweze kuibua mifarakano miongoni mwao.

  • Iran yaalani vikwazo vya upande mmoja vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Iran yaalani vikwazo vya upande mmoja vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela

    Dec 18, 2025 04:11

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaja hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.

  • Waziri wa Mambo ya Nje asisitizia tena azma ya Iran ya kutetea haki zake za kisheria za nyuklia

    Waziri wa Mambo ya Nje asisitizia tena azma ya Iran ya kutetea haki zake za kisheria za nyuklia

    Dec 17, 2025 03:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitizia azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kutetea haki zake za kisheria za nyuklia kulingana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), akisema sera za nyuklia za Tehran zingali zinaendana na mfumo wa sheria za kimataifa.

  • Iran yaitaka dunia izuie kuendelea mauaji ya Wapalestina Gaza

    Iran yaitaka dunia izuie kuendelea mauaji ya Wapalestina Gaza

    Dec 16, 2025 03:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amelaani vikali kuendelea kwa mauaji ya halaiki ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akiashiria mashambulizi ya mabomu yanayoendelea kufanywa na Wazayuni na kuzuiwa kwa misaada ya kibinadamu.

  • Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%

    Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%

    Dec 16, 2025 03:12

    Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda ya Iran (ulioanza Machi 21) yameongezeka kwa asilimia 48, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

  • Iran: Madai ya kumiliki visiwa vya Ghuba ya Uajemi ni dhidi ya mamlaka ya kujitawala na ujirani mwema

    Iran: Madai ya kumiliki visiwa vya Ghuba ya Uajemi ni dhidi ya mamlaka ya kujitawala na ujirani mwema

    Dec 15, 2025 23:58

    Iran imesema kuwa madai yoyote ya kumiliki visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi yaani Tomb Kubwa, TombNdogo na Bu Musa ni ukiukaji wa kanuni za ujirani mwema na kutoheshimu mamla ya kujitawala ya nchi nyingine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS