-
Iran: IAEA haina haki ya kutaka kukagua vituo vilivyoshambuliwa
Dec 15, 2025 08:05Mkuu wa shirika la nyuklia la Iran amekosoa wito wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA wa kufanya ukaguzi mpya kwenye maeneo ya nyuklia yaliyoshambuliwa, akisisitiza kwamba taasisi hiyo ya UN haina itifaki zilizo wazi za kukagua maeneo ambayo yalishambuliwa na utawala wa Israel na Marekani.
-
Pezeshkian: BRICS inatoa fursa ya ushirikiano imara zaidi wa wanachama
Dec 13, 2025 23:23Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameashiria nafasi na uwezo wa kundi la BRICS na kulieleza kama jukwaa muhimu la kuimarisha maingiliano na uhusiano wa kiuchumi na kisiasa miongoni mwa nchi wanachama.
-
Iran yalaani mwenendo wa madola makubwa wa kuitunukia Israel 'haki maalumu' ya kufanyia uchokozi
Dec 12, 2025 07:33Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, sera za mataifa makubwa katika Asia Magharibi zimetengeneza "haki maalumu kwa ajili ya utawala wa Kizayuni," hali ambayo imeiwezesha Israel kufanya uchokozi wa kijeshi katika eneo zima, ikiwa ni pamoja na dhidi ya Iran, bila kukabiliwa na mjibizo wa maana kimataifa kwa uchokozi wake huo.
-
Iran yakosoa kupunguzwa misaada ya kimataifa kwa wakimbizi wa Afghanistan
Dec 11, 2025 23:08Iran imeikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza hata ahadi za kimsingi za kuwasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kiaghani; ikisema kuwa kupunguzwa misaada kumeifanya nchi hiyo kubeba mzigo mkubwa wa kifedha licha ya indhari za miaka mingi.
-
Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia
Dec 11, 2025 05:15Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amevitaja vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia.
-
Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?
Dec 09, 2025 09:12Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.
-
Barabara ya Hariri ya Kusini: Iran, Uturuki zarekebisha biashara ya Eurasia
Dec 09, 2025 08:01Mwishoni mwa mwezi uliopita, wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan alipofanya ziara mjini Tehran, Iran na Uturuki zilitangaza makubaliano ya kuanza ujenzi wa njia mpya ya pamoja ya reli kati ya nchi mbili.
-
Mwanadiplomasia: Iran iliitia Israel hasara 'kubwa na iliyoenea' wakati wa Vita vya Siku 12
Dec 09, 2025 00:02Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iliusababishia utawala wa kizayuni wa Israel uharibifu 'mkubwa na ulioenea' wakati wa uvamizi wake uliofanya mwezi Juni dhidi ya Iran kwa uungaji mkono wa Marekani.
-
Iran: Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani unaandikwa hasa kwa ajili ya Israel
Dec 07, 2025 23:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mkakati mpya wa Usalama wa Taifa wa Marekani (NSS) unaobainisha misingi na vipaumbele vya Washington katika sera za nje kimsingi ni hati ya usalama kwa ajili ya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?
Dec 07, 2025 23:01Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya raia wa Marekani wanapinga mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.