-
Kwa nini Iran inasisitiza umuhimu wa kutokuweko mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo?
Jul 21, 2025 09:19Ali Akbar Ahmadian Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu azungumza na Putin kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran
Jul 21, 2025 02:44Rais Vladimir Putin wa Russia na Ali Larijani, mshauri mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wamekutana na kufanya mazungumzo juu ya masuala ibuka, hasa mpango wa nyuklia wa Tehran na mivutano katika eneo la Asia Magharibi.
-
Araghchi azijia juu nchi zinazotetea uchokozi wa Israel, US dhidi ya Iran
Jul 21, 2025 01:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema kuwa, hujuma za Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ni ukiukaji wa wazi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa na haki za binadamu za kimataifa, akikosoa misimamo ya upendeleo ya baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuhalalisha vitendo hivyo vya uchokozi vilivyofanywa na utawala wa Israel na Marekani mwezi uliopita.
-
Msimamo wa Kamisheni ya Ulaya dhidi ya Iran; kurudiwa tena madai yasiyo na msingi wowote
Jul 20, 2025 13:32Kamisheni ya Ulaya imetoa taarifa ambayo, pasi na kuashiria kuwa mpango wa nyuklia wa Iran ni wa malengo ya amani, imetosheka na kudai tu kwamba: Tehran haipasi kuwa na silaha za nyuklia.
-
Iran, Troika ya Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo?
Jul 20, 2025 12:30Iran na Troika ya Ulaya - Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza - zimeripotiwa kukubaliana msingi wa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo.
-
Iran yawasilisha ripoti rasmi UN kuhusu jinai za kivita za Israel
Jul 20, 2025 09:35Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha ripoti rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel wakati wa vita vyake vya siku 12 dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Spika Qalibaf: Kizuizi kikuu cha Iran dhidi ya maadui ni umoja wa kitaifa
Jul 20, 2025 09:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf amewaasa wananchi wa Iran kulinda umoja wao wa kitaifa akisisitiza kuwa, umoja huo ndio unaomzuia adui kufanya kitendo kingine cha uchokozi dhidi ya taifa hili.
-
Ahmadian: Iran inapinga mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo
Jul 20, 2025 04:35Ali Akbar Ahmadian Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali mabadiliko yoyote ya kijiopolitiki katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais wa Iran: Umoja na mshikamano ni suala la dharura kwa umma wa Kiislamu
Jul 19, 2025 11:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ametoa wito wa umoja na mshikamano zaidi nchini Iran na katika ulimwengu mzima wa Kiislamu ambao unakabiliwa na vitisho vya usalama vya pamoja vya maadui.
-
Araghchi: Iran ‘imejiandaa kikamilifu’ iwapo Israel itavunja usitishaji vita ‘dhaifu’
Jul 19, 2025 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko macho na iko tayari kujilinda iwapo utawala wa Israel utavunja usitishaji vita "tete" uliohitimisha siku 12 za uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya nchi hii mwezi uliopita.