Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mkutano wa kilele wa BRICS walaani mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran

    Mkutano wa kilele wa BRICS walaani mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran

    Jul 06, 2025 15:18

    Mkutano wa kilele wa kundi la BRICS jana Jumapili ulilaani mashambulizi ya kijeshi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Iran: Ugaidi wa kijeshi wa Israel ni pigo kwa diplomasia, NPT

    Iran: Ugaidi wa kijeshi wa Israel ni pigo kwa diplomasia, NPT

    Jul 06, 2025 14:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amelaani uvamizi na hujuma zilizofanywa hivi karibuni na Marekani na Israel dhidi ya Iran, na kuzieleza kuwa pigo kubwa kwa diplomasia, utawala wa sheria na Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).

  • Utafiti: Asilimia 77 ya Wairani 'wanajivunia' uwezo wa makombora na droni wa jeshi dhidi ya uvamizi wa Israel

    Utafiti: Asilimia 77 ya Wairani 'wanajivunia' uwezo wa makombora na droni wa jeshi dhidi ya uvamizi wa Israel

    Jul 03, 2025 04:13

    Wairani wasiopungua asilimia 77 wameeleza kuwa wanahisi kuwa na fakhari kubwa kufuatia jibu lililotolewa na vikosi vya ulinzi mkabala wa uvamizi wa Israel dhidi ya Iran. Takwimu hii ni kwa mujibu wa utafiti ulioendeshwa na Kitengo cha Utafiti cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB).

  • Makamanda wa juu waahidi kutoa kipigo kikali zaidi iwapo Iran itashambuliwa tena

    Makamanda wa juu waahidi kutoa kipigo kikali zaidi iwapo Iran itashambuliwa tena

    Jul 03, 2025 04:08

    Meja Jenerali Abdolrahim Mousavi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Iran amewaonya maadui kwamba watapata kipigo kikali zaidi iwapo wataanzisha uchokozi mpya dhidi ya Iran.

  • Kwa nini shambulio la Israel na Marekani dhidi ya Iran limetoa pigo kubwa kwa NPT?

    Kwa nini shambulio la Israel na Marekani dhidi ya Iran limetoa pigo kubwa kwa NPT?

    Jul 03, 2025 03:56

    Tovuti ya Kiingereza ya Al Jazeera imezungumzia matokeo ya hujuma za karibuni za Marekani na Wazayuni katika ardhi ya Iran na vituo vyake vya nyuklia, na kuandika kwamba vita vya siku 12 havijafanikiwa chochote isipokuwa kuharibu uaminifu wa kiwango fulani uliokuwepo kuhusiana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Nyuklia (NPT).

  • Jibu la Iran kwa ombi la Kundi la G7 kwa ajili ya kufanya mazungumzo

    Jibu la Iran kwa ombi la Kundi la G7 kwa ajili ya kufanya mazungumzo

    Jul 02, 2025 02:21

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la nchi saba tajiri kwa viwanda G7 wametoa wito wa "kuanzishwa tena mazungumzo ya nyuklia" na Iran na kufikiwa makubaliano "jumuishi na ya kudumu" kuhusu mpango wake wa nyuklia.

  • UN: Israel imekiuka sheria za kimataifa kwa kuwalenga raia wa Iran

    UN: Israel imekiuka sheria za kimataifa kwa kuwalenga raia wa Iran

    Jul 01, 2025 23:14

    Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umekiuka pakubwa sheria za kimataifa kwa kuwaua shahidi wanafamilia wa wanasayansi wa nyuklia na raia wa kawaida wa Iran.

  • Meja Jenerali Safavi azionya Marekani na Israel: Ulipizaji kisasi ujao utakuwa wa nguvu zaidi

    Meja Jenerali Safavi azionya Marekani na Israel: Ulipizaji kisasi ujao utakuwa wa nguvu zaidi

    Jul 01, 2025 08:59

    Mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewaonya wapinzani kwamba amewaonya wapinzani kwamba duru ijayo ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran, endapo kutafanyika uchokozi mpya dhidi ya Iran, itakuwa ya nguvu zaidi kuliko wakati wa vita vya siku 12 vya Israel dhidi ya nchi hii.

  • Iran yalitaka Baraza la Usalama la UN kuzitambua Israel na Marekani kama pande zilizoanzisha uchokozi

    Iran yalitaka Baraza la Usalama la UN kuzitambua Israel na Marekani kama pande zilizoanzisha uchokozi

    Jun 30, 2025 04:16

    Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liutambue utawala wa Israel na Marekani kuwa pande zilizoanzisha vita vya karibuni vya siku 12 dhidi ya Jamburi ya Kiislamu ya Iran.

  • Baqaei: Iran inataka amani lakini haitasalimu amri mbele ya ukandamizaji

    Baqaei: Iran inataka amani lakini haitasalimu amri mbele ya ukandamizaji

    Jun 28, 2025 07:44

    Esmaile Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Iran imejidhatiti kwa ajili ya suala la amani, lakini kwamba haitasalimu amri abadan mbele ya maadui

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS