-
Pezeshkian: Vita vingeenea Mgharibi mwa Asia kama uchokozi wa Wazayuni usingejibiwa
Jun 28, 2025 04:23Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa vita vya pande zote vingeshuhudiwa katika eneo zima la Magharibi mwa Asia iwapo hujuma ya uchokozi wa Israel ingesalia bila ya jibu.
-
Araghchi: Msamiati wa ‘Kusalimu Amri’ haumo kwenye fasihi ya watu wa Iran
Jun 28, 2025 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amesema, kama alivyobainisha Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi, hakuna msamiati wa kusalimu amri katika fasihi ya kisiasa na fasihi ya wananchi wa Iran na kwamba wananchi hao wamethibitisha na kulionyesha vizuri hilo katika kipindi cha siku 12.
-
Seneta wa Marekani: Mpango wa nyuklia wa Iran haujaangamizwa
Jun 28, 2025 02:56Chris Murphy, Seneta wa Marekani wa chama cha Democratic amesema, madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu kuangamizwa mpango wa nyuklia wa Iran hayana ukweli.
-
Balozi wa Iran UN: Israel itawajibishwa kwa mauaji ya makusudi ya watoto Wairan
Jun 28, 2025 02:53Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa Amir Saeid Iravani amelaani sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuua watoto makusudi katika inavyoanzisha katika kanda ya Asia Magharibi na kusisitiza kuwa utawala huo haramu utawajibishwa kwa jinai zake hizo za kuua watoto wadogo.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Iran ndiye mshindi wa Vita vya Siku 12
Jun 28, 2025 02:49Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Iran ndiye mshindi wa makabiliano baina yake na adui mzayuni.
-
Watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii: Grossi ni kikaragosi cha Mossad dhidi ya Iran
Jun 28, 2025 02:44Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi ameshambuliwa vikali na watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii kwa kushirikiana na Marekani na utawala haramu wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hasa baada ya kutaka kuruhusiwa maafisa wa shirika hilo kuingia Iran na kukagua miradi ya nishati ya nyuklia iliyoshambuliwa na Marekani.
-
Ayatullah Khamenei: Utawala wa Kizayuni nusura kusambaratika kabisa kufuatia mapigo makali ya jeshi la Iran
Jun 26, 2025 12:35Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa tatu kupitia televisheni ya taifa kwa wananchi wa Iran akiwashukuru na kuwapongeza kwa msimao wao wa kutetea na kuunga mkono kwa dhati mfumo wa Mapinduzi ya Kiislamu, hasa baada ya kushambuliwa na utawala haramu wa Israel kwa uungaji mkono na msaada wa moja kwa moja wa Marekani.
-
Washington yakasirishwa na kufichuliwa ripoti ya siri ya uongo wa Trump kuhusu Iran
Jun 26, 2025 12:28Kufichuliwa ripoti ya siri kuhusu kufeli mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran kumewakasirisha maafisa wa serikali ya Washington.
-
Baqaei: Iran ina haki ya kustafidi na nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani kwa mujibu wa NPT
Jun 26, 2025 12:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa kwa mujibu wa mkabata wa NPT na kifungu cha 4 cha mkataba huo, Iran ina haki kamili ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani, na imeazimia kudumisha haki hiyo kwa hali yoyote ile.
-
Waislamu wa Nigeria washerehekea ushindi wa Iran dhidi ya Marekani na Israel
Jun 25, 2025 05:27Waislamu nchini Nigeria wamesherehekea ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya Marekani na utawala haramu wa Israel baada ya vita kati ya Iran na Isreal kusitishwa baada ya kudumu kwa siku 12.