Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Bidhaa za Iran zinazouzwa Afrika zaongezeka kwa asilimia 200

    Bidhaa za Iran zinazouzwa Afrika zaongezeka kwa asilimia 200

    Jan 12, 2022 01:17

    Bidhaa za Jamuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa barani Afrika zimeongezeka kwa asilimia 200 katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.

  • Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Dec 30, 2021 04:47

    Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.

  • Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

    Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

    Dec 14, 2021 23:01

    Shirika la Iran Khodro, ambalo ndilo shirika kubwa zaidi la kuunda magari Asia Magharibi, limetangaza kufungua tena kiwanda chake cha kuunda magari nchini Senegal.

  • Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Dec 13, 2021 13:20

    Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.

  • Taasisi ya Jiolojia ya Iran kuanza kazi magharibi mwa Afrika

    Taasisi ya Jiolojia ya Iran kuanza kazi magharibi mwa Afrika

    Dec 01, 2021 04:47

    Kufuatia kutiwa saini mapatano ya ushirikiano baina ya Taasisi ya Jiolojia na Uchimbaji Madini ya Iran na Taasisi ya Madini ya Mali, Iran sasa inatarajiwa kuimarisha shuhuli zake za jiolojia na uchimbaji madini magharibi mwa Afrika.

  • Iran na Zimbabwe zajadili njia za kukabiliana na vikwazo vya Marekani

    Iran na Zimbabwe zajadili njia za kukabiliana na vikwazo vya Marekani

    Nov 28, 2021 23:54

    Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe wamekutana mjini Tehran kujadili njia za kukabiliana na vikwazo vya Marekani katika sekta ya biashara.

  • Rais wa Iran ampongeza mwenzake wa Mauritania kwa mnasaba wa Siku ya Taifa

    Rais wa Iran ampongeza mwenzake wa Mauritania kwa mnasaba wa Siku ya Taifa

    Nov 28, 2021 23:47

    Rais Ibrahim Raisi wa Iran amemtumia ujumbe wa pongezi rais wa Mauritania kwa mnasaba wa siku ya taifa ya nchi hiyo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS