-
Araghchi: Uingiliaji wa kijeshi hauwezi kuleta usalama; kutumia mabavu hakuwezi kuleta amani
Sep 20, 2026 04:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema kuwa uingiliaji wa kijeshi hauwezi kuleta usalama, wala matumizi ya mabavu hayawezi kuleta amani. Araghchi amesisitiza haja ya kufanyika mabadiliko ya msingi kutoka katika sera za kijeshi na uingiliaji wa masuala ya nchi nyingine, kuelekea maendeleo endelevu, kuheshimu mamlaka ya kitaifa ya nchi, na kuimarisha amani ya kudumu.
-
Ripoti: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika vita dhidi ya Iran yazidi takwimu rasmi za Idara ya Vita
Sep 20, 2026 04:31Inawezekana kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika maeneo mbalimbali ya Asia Magharibi wakati wa vita dhidi ya Iran vilivyoendeshwa na utawala wa Trump ni kubwa kuliko inavyoonyeshwa katika “rekodi za waathirika” zinazopatikana hadharani kutoka Idara ya Vita ya Marekani.
-
Rais wa Belarus: Wairani hawajawahi kumpigia magoti mtu yeyote
Sep 20, 2026 04:29Rais Alexander Lukashenko wa Belarus amesema kuwa, warithi wa Wairani, watu wa nchi hiyo, hawajawahi kumpigia magoti mtu yeyote. Je, Marekani haifahamu historia hii?”
-
The Nation: Iran “haikusalimu amri”, Marekani iko katika hatihati ya kupiga magoti
Sep 18, 2026 03:48Chombo cha habari cha Marekani The Nation, katika makala kali iliyoikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuingia vitani na Iran, kimeandika:
-
Araghchi: Mashauriano ya Beijing yamefanikiwa; Iran yathamini “ushirikiano wa kimkakati” na China
Sep 17, 2026 12:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ameelezea mashauriano yake mjini Beijing kama “yaliyofanikiwa,” akizungumzia maudhui ya safari yake katika mji mkuu huo wa China, ambapo alikutana na mwenzake, Wang Yi.
-
Kamanda wa IRGC: Iran itajibu vikali kosa lolote la kimahesabu la adui
Sep 17, 2026 10:59Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa kitendo chochote cha uchokozi kutoka kwa adui kitakabiliwa na jibu kali na thabiti kutoka kwa vikosi vya ulinzi vya Iran.
-
Tovuti ya kizayuni: Ishara za kushindwa Marekani katika vita na Iran ziko wazi kabisa
Sep 15, 2026 10:50Tovuti moja ya habari ya Kizayuni imeandika kuwa, Marekani inajiona ndiye mshindi katika vita wakati Pentagon inakiri kwamba ina uhaba wa silaha, huku bei ya mafuta ikipanda na kufikia $110, na Mlango-Bahari wa Hormuz na ule wa Bab al-Mandab ikiwa imewekewa mzingiro kamili.
-
Iran yasema hakuna mazungumzo na Marekani hadi masharti yake yatimizwe
Sep 15, 2026 04:18Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (SNSC), Meja Jenerali Mohsen Rezaei, amesisitiza kuwa kauli za mkanganyiko na ujumbe unaotatanisha kutoka kwa Rais wa Marekani haupaswi kumpotosha yeyote kutoka kwenye uhalisia mpya uliopo sasa kuhusu mafuta na milango-bahari, akiongeza kuwa hakutakuwa na mazungumzo yoyote hadi masharti yaliyowekwa na Iran yatimizwe kikamilifu.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran itakuwa na teknolojia ya kisasa zaidi katika vita vyovyote vipya
Sep 14, 2026 04:02Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa na maendeleo makubwa zaidi ya kiteknolojia iwapo vita vingine vitazuka.
-
Wairani 352,983 washtaki Marekani na Israel kwa vita vya kwanza dhidi ya Iran
Sep 13, 2026 11:18Kesi ya kwanza ya madai iliyofunguliwa na familia za waathiriwa wa “Vita vya Siku 12” vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran mwezi Juni 2025, ilisikilizwa Jumapili asubuhi katika Mahakama ya Iran jijini Tehran.