Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)

    Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)

    Sep 02, 2023 04:36

    Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kisuni wa Iraq katika mkoa wa Diyala ametahadharisha juu ya hatari ya kambi ya al-Houl kwa usalama wa Iraq na eneo kwa ujumla na akaeleza kwamba kambi hiyo imeanzishwa na Marekani kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuandaa kizazi cha nne cha kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq

    Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq

    Aug 26, 2023 08:29

    Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi imesisitiza kuwa iko tayari kushirikiana na taasisi nyingine za usalama za nchi hiyo kulinda usalama wa Waislamu wakati wa ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS na kusisitiza kuwa, askari wake 11,000 watashiriki kwenye zoezi hilo.

  • Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi

    Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi

    Aug 24, 2023 04:02

    Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeionya vikali Marekani na kusema kuwa itasambaratisha miradi ya Washington katika eneo la Asia Magharibi.

  • Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Jul 23, 2023 10:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.

  • Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ayapiga marufuku mashirika ya Sweden

    Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ayapiga marufuku mashirika ya Sweden

    Jul 21, 2023 07:38

    Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ameyapiga marufuku mashirika yote ya Sweden kufanya kazi nchini humo ikiwa ni kujibu kitendo cha nchi hiyo ya Ulaya Magharibi cha kuruhusu kuvunjiewa heshima tena Qur'ani Tukufu na bendera ya Iraq.

  • Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, balozi wa Sweden atimuliwa Iraq

    Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, balozi wa Sweden atimuliwa Iraq

    Jul 20, 2023 23:10

    Serikali ya Iraq imemfukuza balozi wa Sweden mjini Baghdad kulalamikia serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.

  • Kushambulia ubalozi wa Uswidi jijini Baghdad; matokeo ya kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu

    Kushambulia ubalozi wa Uswidi jijini Baghdad; matokeo ya kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu

    Jul 20, 2023 08:48

    Waandamanaji wa Iraq waliokuwa na hasira wameushambulia ubalozi wa Uswidi mjini Baghdad kujibu udhalilishaji uliopangwa dhidi ya Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Kuvunjiwa heshima Qurani; Wairaq waushambulia ubalozi wa Sweden

    Kuvunjiwa heshima Qurani; Wairaq waushambulia ubalozi wa Sweden

    Jul 20, 2023 04:03

    Wananchi wa Iraq waliokuwa na ghadhabu wameuvamia ubalozi wa Sweden mjini Baghdad na kuchoma moto sehemu moja ya ofisi za ubalozi huo, kulalamikia kibali cha pili kilichotolewa na serikali ya Stockholm cha kuruhusu kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Jumatatu, 17 Julai, 2023

    Jumatatu, 17 Julai, 2023

    Jul 16, 2023 23:32

    Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Tatu, Dhulhija 1444 Hijria, sawa na tarehe 17 Julai mwaka 2023 .

  • Wairaqi walaani njama za Marekani za kutaka kuwaua viongozi wa muqawama

    Wairaqi walaani njama za Marekani za kutaka kuwaua viongozi wa muqawama

    Jul 15, 2023 03:18

    Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad, kupinga na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo, na vile vile njama za Washington za kutaka kuwaua kigaidi viongozi wa kambi ya muqawama nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS