-
Viongozi 6 hatari wa Daesh watiwa nguvuni Iraq
Jul 04, 2023 00:52Idara ya Intelijinsia ya Iraq imetangaza kuwatia mbaroni watu sita wanaotajwa kuwa magaidi hatari sana wa kundi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Nineveh nchini humo.
-
Ayatullah Sistani ataka Umoja wa Mataifa uzuie kukaririwa vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani
Jun 30, 2023 04:11Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
-
Al Hashdu Shaabi ya Iraq yawatia mbaroni viongozi 3 wa Daesh
Jun 24, 2023 07:48Harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashdu al Shaabi (PMU) imetangaza kuwatia mbaroni viongozi watatu wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk nchini humo.
-
Mwaka wa tisa wa kuasisiwa Hashd al Shaabi, sisitizo la viongozi wa Iraq la kuimarishwa harakati hiyo ya ukombozi
Jun 17, 2023 04:46Rais Abdul Latif Rashid wa Iraq pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohammed Shayya’ Sabbar al-Sudani wametuma ujumbe mbalimbali kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa tisa wa kuasisiwa harakati ya ukombozi ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la Hashd al Shaabi na wametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi harakati hiyo.
-
Iraq yavunja mtandao wa mabaki ya ISIS mkoani Al-Anbar
Jun 06, 2023 02:02Vyombo vya usalama nchini Iraq vimefanikiwa kusambaratisha mtandao wa mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la ISIS katika mkoa wa Al-Anbar, wa magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iraq: Jordan imegeuzwa maficho ya Waba'athi zaidi ya elfu tano waliotoroka nchi
May 28, 2023 22:02Kiongozi mmoja wa Muungano wa al-Fat'h ya Iraq amesema, Jordan sasa hivi imegeuzwa maficho ya Maba'athi zaidi ya elfu tano waliotoroka nchi.
-
"Waliomzatiti kwa silaha Saddam wanatiwa kiwewe na uwezo wa kiulinzi wa Iran"
May 26, 2023 22:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu kile kilichotajwa kuwa 'wasiwasi' wa nchi za Magharibi juu ya ustawi na mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika uga wa ulinzi na kusisitiza kuwa, madola hayo yanayotiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kiulinzi wa Iran ndiyo yaliyomshajiisha na kumzatiti kwa silaha dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein ili awashambulie Wairani.
-
Nujabaa ya Iraq: Tutapambana mpaka tuhakikishe hata askari mmoja wa Marekani habakii Iraq
May 01, 2023 22:44Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa amesisitiza kuwa vita dhidi ya wavamizi wa Kimarekani vitaendelea hadi itakapohakikishwa hakuna hata mwanajeshi mmoja wa Marekani aliyesalia katika ardhi ya Iraq.
-
Rais Raisi: Azma ya viongozi wa Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili
Apr 29, 2023 08:40Rais Ebrahim Raisi amesema: azma ya viongozi wa nchi mbili za Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili.
-
Alkhamisi tarehe 13 Aprili 2023
Apr 12, 2023 23:08Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Aprili 2023.