Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Nujabaa ya Iraq: Tutapambana mpaka tuhakikishe hata askari mmoja wa Marekani habakii Iraq

    Nujabaa ya Iraq: Tutapambana mpaka tuhakikishe hata askari mmoja wa Marekani habakii Iraq

    May 01, 2023 22:44

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa amesisitiza kuwa vita dhidi ya wavamizi wa Kimarekani vitaendelea hadi itakapohakikishwa hakuna hata mwanajeshi mmoja wa Marekani aliyesalia katika ardhi ya Iraq.

  • Rais Raisi: Azma ya viongozi wa Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili

    Rais Raisi: Azma ya viongozi wa Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili

    Apr 29, 2023 08:40

    Rais Ebrahim Raisi amesema: azma ya viongozi wa nchi mbili za Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili.

  • Alkhamisi tarehe 13 Aprili 2023

    Alkhamisi tarehe 13 Aprili 2023

    Apr 12, 2023 23:08

    Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Aprili 2023.

  • Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani

    Apr 10, 2023 04:22

    Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).

  • Wairaqi zaidi ya milioni moja wametoweka na hawajulikani waliko

    Wairaqi zaidi ya milioni moja wametoweka na hawajulikani waliko

    Apr 05, 2023 07:55

    Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kuwa, zaidi ya watu milioni moja wametoweka nchini Iraq na hawajulikani waliko; katika kipindi cha miaka hamsini iliyopita, ikiwa ni pamoja na enzi za udikteta wa Saddam Hussein, za uvamizi wa Iraq ulioongozwa na Marekani, na za kuibuka kwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq

    Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq

    Mar 31, 2023 23:43

    Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.

  • Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani

    Mar 26, 2023 22:41

    Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.

  • Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho

    Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho

    Mar 22, 2023 22:43

    Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.

  • Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho

    Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho

    Mar 21, 2023 22:47

    Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.

  • Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja

    Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja

    Mar 20, 2023 22:56

    Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS