Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Nujaba: Hashdu Shaabi itaendelea kupambana na ugaidi wa US, Israel nchini Iraq

    Nujaba: Hashdu Shaabi itaendelea kupambana na ugaidi wa US, Israel nchini Iraq

    Jun 14, 2022 22:00

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya al-Nujaba nchini Iraq amesema Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la al-Hashdu-Sha'abi limefanikiwa kuzima njama nyingi za maadui dhidi ya taifa hilo la Kiarabu, na litaendelea kupambana na ugaidi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Hashdu Shaabi yashambulia maficho ya magaidi Iraq; yaua kadhaa miongoni mwao

    Hashdu Shaabi yashambulia maficho ya magaidi Iraq; yaua kadhaa miongoni mwao

    Jun 07, 2022 03:33

    Wanamapambano wa harakati ya wanamuqawa ya Hashdu Shaabi ya Iraq wameshambulia ngome na maficho ya mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi ajinabi kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Hatua muhimu mno ya kiistratijia ya Bunge la Iraq; uhusiano wowote na Israel ni uhalifu

    Hatua muhimu mno ya kiistratijia ya Bunge la Iraq; uhusiano wowote na Israel ni uhalifu

    May 28, 2022 02:40

    Juzi Alkhamisi tarehe 26 Mei, 2022, Bunge la Iraq lilipasisha kwa kauli moja sheria ya kutambua kuwa ni uhalifu, hatua yoyote ya kuweka uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Bunge la Iraq lapasisha sheria ya kupiga marufuku kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Bunge la Iraq lapasisha sheria ya kupiga marufuku kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    May 27, 2022 06:40

    Bunge la Iraq limepasisha kwa kauli moja sheria ya kupiga marufuku ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)

    Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)

    May 25, 2022 06:09

    Mkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq

    Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq

    May 13, 2022 21:42

    Bunge la Iraq limeidhinisha rasimu ya sheria inayopiga marufuku kuanzisha au kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Rasimu hiyo inatoa adhabu ya kifo kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu huo.

  • Barhum Salih asisitiza udharura wa kukabiliana na ugaidi na vitisho vya usalama

    Barhum Salih asisitiza udharura wa kukabiliana na ugaidi na vitisho vya usalama

    May 09, 2022 23:43

    Rais wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ambapo amemueleza kuhusu hatua za karibuni za kupambana na masalia ya kundi la kigaidi la Daesh .

  • Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea

    Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea

    May 03, 2022 22:06

    Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.

  • Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba

    Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba

    May 03, 2022 00:14

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.

  • Hadi al-Amiri:  Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile

    Hadi al-Amiri: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile

    Apr 30, 2022 06:24

    Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS