Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq

    Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq

    Jan 22, 2022 05:17

    Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.

  • Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

    Jan 10, 2022 23:10

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Wanajeshi magaidi wa Marekani waiba makumi ya malori ya mafuta ya Syria

    Wanajeshi magaidi wa Marekani waiba makumi ya malori ya mafuta ya Syria

    Jan 10, 2022 08:33

    Duru za kiusalama za Syria zimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na wanajeshi magaidi wa Marekani umeiba malori mengine 79 ya mafuta ya Syria na kuyaingiza nchini Iraq.

  • Rais wa Iraq: Jen. Soleimani alikimbilia kutusaidia katika wakati nyeti

    Rais wa Iraq: Jen. Soleimani alikimbilia kutusaidia katika wakati nyeti

    Jan 05, 2022 23:22

    Rais wa Iraq amesema Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliitikia mwito wa taifa la Iraq na kwenda haraka kushirikiana na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika wakati hasasi wa kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Mrengo wa Nouri al-Maliki: Tumekubaliana juu ya namna serikali mpya ya Iraq itakavyokuwa

    Mrengo wa Nouri al-Maliki: Tumekubaliana juu ya namna serikali mpya ya Iraq itakavyokuwa

    Jan 01, 2022 04:26

    Muungano wa Utawala wa Sheria wa Iraq umesema, yamefikiwa makubaliano kuhusu namna serikali mpya ya nchi hiyo itakavyokuwa na kwamba serikali hiyo itakuwa ni ya "maafikiano".

  • Iraq na tatizo sugu la ugaidi

    Iraq na tatizo sugu la ugaidi

    Dec 31, 2021 09:02

    Japokuwa mtandao wa kigaidi wa DAESH (ISIS) umetokomezwa nchini Iraq, lakini kutokana na sababu tofauti, kitisho cha ugaidi kingali kipo nchini humo.

  • Mkuu wa Muungano wa al-Fat-h: Wairaqi wana deni kubwa kwa Kamanda Qasem Soleimani

    Mkuu wa Muungano wa al-Fat-h: Wairaqi wana deni kubwa kwa Kamanda Qasem Soleimani

    Dec 27, 2021 23:15

    Mkuu wa Muungano wa kisiasa wa al Fat-h nchini Iraq amesema, Wairaqi wana deni kubwa kwa Shahidi Qasem Soleimani na Shahidi Abu Mahdi al Muhandis.

  • Jumapili 26 Disemba 2021

    Jumapili 26 Disemba 2021

    Dec 25, 2021 23:05

    Leo ni Jumapili tarehe 21 Jamadil Awwal 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 26 Disemba mwaka 2021.

  • Amir-Abdollahian asisitiza kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq

    Amir-Abdollahian asisitiza kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq

    Dec 23, 2021 09:22

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha pamoja na waandishi wa habari akiwa na mgeni wake Fuad Hussein, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iraq hapa mjini Tehran juu ya udharura wa kuondoka kikamilifu askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq.

  • Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani: Washington haitaondoka Iraq mwishoni mwa 2021

    Mwanadiplomasia wa zamani wa Marekani: Washington haitaondoka Iraq mwishoni mwa 2021

    Dec 07, 2021 23:03

    Aliyekuwa naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani David Schenker amedai kuwa, nchi hiyo haina nia ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS