Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Onyo kuhusu hatari ya kupata nguvu tena genge la Daesh eneo la Kurdistan nchini Iraq

    Onyo kuhusu hatari ya kupata nguvu tena genge la Daesh eneo la Kurdistan nchini Iraq

    Dec 05, 2021 07:33

    Mkuu wa chama cha Democrat cha eneo la Kurdistan la Iraq na ambaye pia ni rais wa serikali ya ndani ya eneo hilo ameonya kuhusu hatari ya kupata nguvu upya genge la Daesh (ISIS) kwenye eneo hilo.

  • "Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama"

    Dec 03, 2021 00:54

    Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu.

  • Iraq: Tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini haibadilishiki

    Iraq: Tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini haibadilishiki

    Nov 27, 2021 23:20

    Msemaji wa Komandi ya Operesheni za Pamoja ya Iraq amesema kuwa, wakati wa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo haibadilishiki.

  • Marekani yaendeleza njama za umwagaji damu ili kuhakikisha haitimuliwi nchini Iraq

    Marekani yaendeleza njama za umwagaji damu ili kuhakikisha haitimuliwi nchini Iraq

    Nov 25, 2021 23:18

    Makundi ya kisisa nchini Iraq yamesema kuwa, Marekani inaendelea kufanya njama za kuchochea machafuko na umwagaji damu nchini Iraq ili kujiwekea kinga ya kutotimuliwa nchini humo.

  • Onyo la makundi ya mapambano ya Iraq kuhusu kuondoka askari wa Marekani

    Onyo la makundi ya mapambano ya Iraq kuhusu kuondoka askari wa Marekani

    Nov 21, 2021 22:53

    Kufuatia uvumi unaoenezwa kuhusu kutotekelezwa ratiba ya kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq, makundi ya mapambano ya nchi hiyo yametoa onyo kali kuhusu jambo hilo.

  • Jeshi la Iraq lakanusha: Muda wa kuwepo kijeshi Marekani haujarefushwa

    Jeshi la Iraq lakanusha: Muda wa kuwepo kijeshi Marekani haujarefushwa

    Nov 20, 2021 08:51

    Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za Iraq amesema muda wa kuwepo wanajeshi wa Marekani nchini humo haujarefushwa.

  • Al khazali atilia shaka riwaya rasmi juu ya jaribo la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq

    Al khazali atilia shaka riwaya rasmi juu ya jaribo la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq

    Nov 09, 2021 09:06

    Katibu Mkuu wa harakati ya Asaib Ahlul Haq nchini Iraq ametilia shaka riwaya na ripoti rasmi iliyotolewa na vyombo vya dola kuhusu shambulizi lililolenga makazi ya Waziri Mkuu wa nchi hio, Mustafa al Kadhimi mjini Baghdadi siku chache zilizopita

  • Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana

    Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana

    Nov 08, 2021 07:55

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itaondoka nchini Iraq, amani na uthabiti wa nchi hiyo ya Kiarabu utapatikana.

  • Shambaulio la kutiliwa shaka dhidi ya makazi ya Mustafa al-Kadhimi

    Shambaulio la kutiliwa shaka dhidi ya makazi ya Mustafa al-Kadhimi

    Nov 08, 2021 07:21

    Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq alinusurika kifo jana alfajiri kufuatia shambulio la kombora lililofanyika dhidi ya makazi yake mjini Baghdad.

  • Katibu Mkuu wa UN alaani jaribio la kutaka kumuua Waziri Mkuu wa Iraq

    Katibu Mkuu wa UN alaani jaribio la kutaka kumuua Waziri Mkuu wa Iraq

    Nov 08, 2021 04:42

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani jaribio la kutaka kumuua Mustafa al Kadhimi Waziri Mkuu wa Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS