Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo

    Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo

    Nov 07, 2021 23:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi.

  • Rais wa Iraq alaani njama ya kumuua waziri mkuu wa nchi hiyo al-Kadhimi

    Rais wa Iraq alaani njama ya kumuua waziri mkuu wa nchi hiyo al-Kadhimi

    Nov 07, 2021 08:57

    Rais Barham Salih wa Iraq amelaani jaribio la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al-Kadhimi.

  • Zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo vya uchaguzi vya mikoa minne ya Iraq lamalizika

    Zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo vya uchaguzi vya mikoa minne ya Iraq lamalizika

    Nov 05, 2021 04:00

    Tume ya Uchaguzi ya Iraq imetangaza kuwa zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo ya uchaguzi wa bunge vilivyozusha mzozo vya mikoa minne iliyosalia ya Diyala, Babel, Karbala na Najaf limemalizika.

  • Kundi la kigaidi la DAESH laua raia wengine kadhaa wasio na ulinzi wa Iraq mkoani Diyala

    Kundi la kigaidi la DAESH laua raia wengine kadhaa wasio na ulinzi wa Iraq mkoani Diyala

    Oct 27, 2021 09:31

    Duru za usalama za Iraq zimetangaza kuwa, magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) wameshambulio kijiji kimoja mkoani Diala na kuwaua na kuwajeruhi raia kadhaa wasio na ulinzi.

  • Baraza la tume ya uchaguzi Iraq lapinga kura kuhesabiwa tena kwa mkono

    Baraza la tume ya uchaguzi Iraq lapinga kura kuhesabiwa tena kwa mkono

    Oct 23, 2021 04:19

    Baraza la tume ya uchaguzi ya Iraq limekataa kura za uchaguzi katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo zihesabiwe tena kwa mkono licha ya kuthibitisha kuwa kuna makosa na kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi huo.

  • Kuendelea maandamano ya kulalamikia matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Iraq

    Kuendelea maandamano ya kulalamikia matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Iraq

    Oct 22, 2021 20:49

    Maandamano ya kulalamikia na kupinga matokeo ya uchaguzi wa bunge la Iraq yangali yanaendelea; na sasa yamesambaa hadi mikoa mingine kadhaa ya nchi hiyo.

  • Matokeo rasmi ya uchaguzi wa bunge Iraq na mkukuriko wa mirengo ya kisiasa kwa ajili ya kuunda Mrengo Mkuu

    Matokeo rasmi ya uchaguzi wa bunge Iraq na mkukuriko wa mirengo ya kisiasa kwa ajili ya kuunda Mrengo Mkuu

    Oct 18, 2021 21:06

    Kamisheni Kuu ya Uchaguzi ya Iraq imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi wa tano wa Bunge la nchi hiyo.

  • Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria

    Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria

    Oct 13, 2021 22:49

    Komandi ya Vikosi vya Gadi ya Mipakani ya Iraq imetangaza kuwa hivi sasa jeshi la nchi hiyo linalidhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa Iraq na Syria.

  • Maswali matatu makuu kuhusiana na uchaguzi wa Bunge wa Iraq

    Maswali matatu makuu kuhusiana na uchaguzi wa Bunge wa Iraq

    Oct 13, 2021 06:58

    Duru ya tano ya uchaguzi wa Bunge nchini Iraq imefanyika huku uchaguzi huo ukiibua maswali matatu makuu na ya kimsingi kuhusiana na uchaguzi huo.

  • Jumapili tarehe 3 Oktoba 2021

    Jumapili tarehe 3 Oktoba 2021

    Oct 02, 2021 23:37

    Leo ni Jumapil tarehe 26 Safar 1443 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS