-
Faida kubwa ya mashirika ya kutengeneza silaha ya Marekani kutokana na tukio la Septemba 11
Sep 16, 2021 02:23Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Watson Institute for International and Public Affairs la Chuo Kikuu cha Brown nchini Marekani, nusu ya bejeti ya wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, Pentagon baina ya miaka ya 2001 hadi 2020 ambayo inafikia dola trilioni 14 imewaendea wakandarasi na mashirika yanayotenegeneza silaha ya nchi hiyo. Kati ya fedha hizo dola trilioni 4.4 zilitengewa vituo vya kijeshi na viwanda vinavyohusika na masuala ya kijeshi.
-
Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq
Sep 10, 2021 12:50Kamandi Kuu ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq imetangaza tarehe ya mwisho kwa askari wa jeshi la Marekani kuwepo katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi
Sep 08, 2021 07:12Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi.
-
Jeshi la Iraq laua viongozi kadhaa wa ISIS kaskazini mwa nchi
Aug 30, 2021 11:24Idara ya Intelejensia na Upelelezi ya Iraq imetangaza habari ya kuangamizwa wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi.
-
Muqtada al-Sadr: Mkutano wa Baghdad umeonesha umuhimu wa Iraq
Aug 30, 2021 02:28Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Mkutano wa Baghdad uliofanyika juzi Jumamosi umeonesha nafasi na umuhimu wa Iraq katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake
Aug 29, 2021 03:48Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.
-
Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe
Aug 24, 2021 13:14Mrengo wa Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani Nouri al Maliki umetilia mkazo udharura wa kuharakishwa mchakato wa askari wa Marekani kuondoka nchini humo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Nchi za Asia Magharibi zinaweza kubuni ramani ya njia ya amani bila ya kutegemea madola ya kigeni
Aug 17, 2021 15:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za eneo la Magharibi mwa Asia zinaweza kubuni ramani ya njia na kuimarisha amani, utulivu na usalama endelevu kwa kushirikiana, na kuongeza kuwa uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya eneo hilo hauwezi kudhamini amani, ustawi na maendeleo.
-
Rais Assad wa Syria aalikwa kuhudhuria kikao cha Baghdad cha viongozi wa nchi za eneo
Aug 16, 2021 12:34Duru za habari zimeripoti kuwa serikali ya Iraq imemwalika rais wa Syria kushiriki katika kikao cha viongozi wa nchi jirani na Iraq kitakachofanyika mjini Baghdad.
-
Malengo ya Iraq katika kuandaa kikao cha nchi jirani
Aug 12, 2021 02:25Serikali ya Iraq inafanya juhudi za kuandaa kikao cha viongozi wa nchi za eneo na nchi kadhaa za kimataifa kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti.