-
Muqtada al-Sadr: Mkutano wa Baghdad umeonesha umuhimu wa Iraq
Aug 29, 2021 21:58Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Mkutano wa Baghdad uliofanyika juzi Jumamosi umeonesha nafasi na umuhimu wa Iraq katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake
Aug 28, 2021 23:18Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.
-
Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe
Aug 24, 2021 08:44Mrengo wa Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani Nouri al Maliki umetilia mkazo udharura wa kuharakishwa mchakato wa askari wa Marekani kuondoka nchini humo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Nchi za Asia Magharibi zinaweza kubuni ramani ya njia ya amani bila ya kutegemea madola ya kigeni
Aug 17, 2021 11:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za eneo la Magharibi mwa Asia zinaweza kubuni ramani ya njia na kuimarisha amani, utulivu na usalama endelevu kwa kushirikiana, na kuongeza kuwa uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya eneo hilo hauwezi kudhamini amani, ustawi na maendeleo.
-
Rais Assad wa Syria aalikwa kuhudhuria kikao cha Baghdad cha viongozi wa nchi za eneo
Aug 16, 2021 08:04Duru za habari zimeripoti kuwa serikali ya Iraq imemwalika rais wa Syria kushiriki katika kikao cha viongozi wa nchi jirani na Iraq kitakachofanyika mjini Baghdad.
-
Malengo ya Iraq katika kuandaa kikao cha nchi jirani
Aug 11, 2021 21:55Serikali ya Iraq inafanya juhudi za kuandaa kikao cha viongozi wa nchi za eneo na nchi kadhaa za kimataifa kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti.
-
Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tuna haki ya kujibu mashambulio ya Israel
Aug 10, 2021 23:17Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesema kambi hiyo ya muqawama ina haki ya kujibu mapigo, kufuatia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameua vijana kadhaa wa mrengo huo wa mapambao ya Kiislamu.
-
Maroketi mawili yapiga karibu na ubalozi wa Marekani, Baghdad
Jul 29, 2021 21:50Ripoti zinasema kuwa maroketi mawili yamepiga eneo la karibu na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad katika eneo lenye ulinzi mkubwa la Green Zone.
-
Radiamali tofauti za maafisa na makundi ya Iraq kuhusu taarifa ya pamoja ya al-Kadhimi na Biden
Jul 28, 2021 03:53Rais Joe Biden wa Marekani na Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq wametoa taarifa mwishoni mwa duru ya nne ya mazungumzo ya kistratijia nya nchi mbili ambapo wamesema kuwa wameafikiana juu ya kufikia kikomo uwepo wa askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
-
Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan
Jul 28, 2021 03:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.