-
HRW: Israel ilitenda jinai za kivita katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza
Jul 27, 2021 21:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mashambulio yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza yalifikia kiwango cha jinai za kivita.
-
Makundi ya Mashia Iraq yakaribisha makubaliano ya kuondolewa askari wa Marekani nchini humo
Jul 27, 2021 10:38Mirengo miwili ya Al Fat-h na An-Nasr pamoja na harakati ya Hekima ya Kitaifa na ile ya Sadr nchini Iraq zimekaribisha juhudi za timu ya mazungumzo ya nchi hiyo zilizowezesha kufikiwa makubaliano na Marekani ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq.
-
Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani
Jul 26, 2021 03:23Duru ya nne ya mazungumzo kati ya Marekani na Iraq ilianza siku ya Ijumaa ya tarehe 23 Julai mjini Washington, Marekani. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein na Qassem Al Aa'raji, Mshauri wa Usalama wa Taifa ndio wanaoiwakilisha nchi yao katika mazungumzo hayo.
-
Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani
Jul 25, 2021 22:08Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa Baghdad haiwahitaji wanajeshi wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kundi la Daesh.
-
Serikali ya Iraq yawatia mbaroni magaidi waliohusika na shambulio la umwagaji damu katika kiunga cha Sadr
Jul 24, 2021 22:28Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi amesema, vyombo vya usalama vimewagundua na kuwatia mbaroni watu waliohusika na shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye kitongoji cha Sadr katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa
Jul 24, 2021 07:25Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.
-
Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani
Jul 24, 2021 03:37Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021
Jul 23, 2021 03:16Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limedai kuwa, Marekani na Iraq zimeafikiana juu ya kuondoka wanajeshi wote wa US kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu kufikia mwishoni mwaka huu 2021.
-
A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad
Jul 21, 2021 03:23Katibu Mkuu wa harakati ya A'saaib Ahlil-Haq ameashiria njama za Marekani za kutaka kuliimarisha genge la DAESH(ISIS) nchini Iraq na akasema: katika kufanikisha jambo hilo, Washington inasaidiwa na mashirika ya intelijensia ya Israel na nchi za Kiarabu.
-
Al Azhar ya Misri yalaani mlipuko wa kigaidi katika kitongoji cha Sadr huko Iraq
Jul 20, 2021 06:45Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kimelaani mlipuko wa kigaidi uliotokea jana katika kitongoiji cha Sadr huko Iraq sambamba na kuwadia Sikukuu ya Idul Adhaa na Siku ya Arafa.