Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani

    Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani

    May 24, 2021 21:47

    Kituo cha Uratibu wa Makundi ya Muqawama ya Iraq kimetoa taarifa kikisema muhula waliokuwa wamepewa askari vamizi wa Marekani kuondoka Iraq umefika ukingoni na sambamba na hilo kumeshadidishwa oparesheni dhidi ya maeneo waliko magaidi hao wa Marekani nchini Iraq.

  • Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti  nchini Iraq ni usalama Iran

    Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti nchini Iraq ni usalama Iran

    May 17, 2021 08:34

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema usalama na uthabiti nchini Iraq ni sawa na usamala nchini Iran na amesisitiza kuhusu ushirikiano wa nchi mbili katika kukabiliana na taharui za makundi ya wakufurishaji na magaidi.

  • Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq

    Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq

    May 10, 2021 03:19

    Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, Wairani ni watu wa kutazama mambo kwa uhalisia wake na kwamba, juhudi zao zinalenga kuiunga mkono serikali ya Baghdad na wala hazina nia ya kuidhoofisha.

  • Zarif asisitiza kuhusu udharura wa umoja wa umma wa Kiislamu

    Zarif asisitiza kuhusu udharura wa umoja wa umma wa Kiislamu

    Apr 26, 2021 22:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu udharura wa umoja wa umma wa Kiislamu.

  • Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS

    Mbunge wa Bunge la Ulaya: Tofauti na US, Iran iliisaidia Iraq kupambana na ISIS

    Apr 21, 2021 02:59

    Mbunge wa kujitegemea wa Bunge la Ulaya (MEP) amesema kuibuka kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Iraq ni matokeo ya Marekani kuivamia nchi hiyo ya Kiarabu mwaka 2003; na kwamba kinyume na Marekani, Iran iliinyooshea Baghdad mkono wa msaada na uungaji mkono katika vita dhidi ya genge hilo la kitakfiri.

  • Harakati ya Nujabaa: Kuendelea kuwepo kijeshi Marekani ndio hatari kubwa zaidi kwa Iraq

    Harakati ya Nujabaa: Kuendelea kuwepo kijeshi Marekani ndio hatari kubwa zaidi kwa Iraq

    Apr 15, 2021 08:32

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa nchini Iraq amesisitiza kuwa, kuendelea kuwepo kijeshi Marekani, ndio hatari kubwa zaidi inayotishia usalama wa Iraq.

  • Msafara wa wanajeshi vamizi wa Marekani washambuliwa kusini mwa Iraq

    Msafara wa wanajeshi vamizi wa Marekani washambuliwa kusini mwa Iraq

    Apr 13, 2021 22:06

    Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, msafara wa magari yaliyokuwa yamepakia vifaa mbalimbali na zana za kijeshi kwa ajili ya wanajeshi vamizi wa Marekani umeshambuliwa kusini mwa nchi hiyo.

  • Jumanne tarehe 13 Aprili mwaka 2021

    Jumanne tarehe 13 Aprili mwaka 2021

    Apr 12, 2021 22:20

    Leo nii Jumanne tarehe 30 Shaabani 1442 Hijria sawa na Aprili 13 mwaka 2021.

  • Ndege za kivita za Iraq zashambulia ngome za magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Ndege za kivita za Iraq zashambulia ngome za magaidi wa ISIS nchini Iraq

    Apr 11, 2021 03:15

    Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia ngome za magaidi wa ISIS au Daesh katika Milima ya Hamrin mkoani Diyala ambapo magaidi kadhaa wameangamizwa

  • Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington

    Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington

    Apr 07, 2021 22:07

    Duru mpya ya mazungumzo ya kistratijia baina ya Baghdad na Washington ilianza jana Jumatano kwa njia ya video. Taarifa iliyotolewa huko nyuma na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema kuwa mazungumzo hayo yatahusu usalama, namna ya kupambana na ugaidi, nishati na masuala ya kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS