-
Ayatullah Sistani na Papa Francis wakutana mjini Najaf
Mar 07, 2021 01:14Kiongozi na Marjaa wa Waisalmu wa Madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 07:30Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Shamkhani: Iran haitaruhusu kuhuishwa ugaidi wa kitakfiri katika eneo
Feb 27, 2021 08:58Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na mataifa mengine yanayopambana na ugaidi katu hayataruhusu kuhuishwa magenge ya kigaidi na kitakfiri katika eneo la Asia Magharibi.
-
Makundi ya muqawama Iraq yaapa kujibu chokochoko mpya za Marekani
Feb 27, 2021 08:33Harakati za muqawama za Iraq zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya jeshi la Marekani yaliyolenga kambi za makundi hayo ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria, na kusisitiza kuwa, chokochoko hizo mpya za Washington hazitapita bila kupewa jibu kali.
-
Shambulizi la anga la Marekani huko Syria, nembo ya kupenda vita ya serikali ya Biden
Feb 27, 2021 05:37Mwaka 2014 Marekani ilituma majeshi yake kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na majeshi hayo yamebakia nchini humo hadi sasa licha ya wito wa mara kwa mara wa serikali ya Damascus wa kutaka kuondoka majeshi hayo vamizi katika ardhi yake.
-
'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'
Feb 25, 2021 23:20Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
-
Jumuiya ya Maulamaa Iraq: Mossad inaongoza kambi za magaidi wa Daesh huko Syria
Feb 23, 2021 23:12Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala huko Iraq amesema kuwa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) linasimamia kambi mbalimbali za magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh huko Syria.
-
Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu: Sehemu kubwa ya Madaesh wa kujiripua wameingia Iraq kutokea Syria
Feb 22, 2021 23:14Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa, sehemu kubwa ya magaidi wa Daesh (ISIS) wa kujiripua kwa mabomu wameingia nchini Iraq wakitokea Syria.
-
Ongezeko la wanajeshi wa NATO nchini Iraq, juhudi za kujaza nafasi ya Marekani
Feb 20, 2021 23:09Majeshi ya nchi za Magharibi yalipelekwa kwa wingi nchini Iraq baada ya Marekani kuivamia ardhi ya nchi hiyo mwaka 2003 na bado yanaendelea kuwepo nchini humo.
-
Mfadhili mkuu wa kifedha wa Daesh atiwa mbaroni mkoani Diyala, Iraq
Feb 20, 2021 04:35Idara ya Intelijinsia ya Jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni mfadhili mkuu wa kifedha wa kundi la Daesh mkoani Diyala mashariki mwa nchi hiyo.