-
Wabunge wa Iraq wataka uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo ukomeshwe
Feb 19, 2021 10:33Wabunge kadhaa wa Iraq wametoa indhari kuhusu uingiliaji wa Marekani hasa katika kadhia ya uchaguzi ujao wa bunge na katika masuala ya kijeshi na kiusalama ya nchi hiyo.
-
Iraq yaitahadharisha Uturuki kuhusu mashambulizi dhidi ya Sinjar
Feb 15, 2021 23:11Msemaji wa kikosi cha oparesheni za pamoja cha Iraq ameitahadharisha Uturuki kuhusu oparesheni ya jeshi katika eneo la Sinjar mkoani Nainawa huko Iraq na kueleza kuwa, Baghdad itachukua hatua zote za lazima iwapo itakabiliwa na shambulizi au uvamizi wowote wa nchi ajinabi.
-
Ammar al Hakim atilia mkazo ulazima wa askari wa Marekani kuondoka Iraq
Feb 12, 2021 23:25Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq amesisitiza kuhusu ulazima wa Marekani kubadilisha mwenendo wake katika Asia Magharibi na askari wa nchi hiyo kuondoka katika eneo hilo.
-
Hashdu Shaabi kubuni mipango mipya ya kuwafukuza askari wa US Iraq
Feb 09, 2021 23:00Harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Shaabi ya Iraq imeonya kuwa, iwapo wanajeshi vamizi wa Marekani hawataheshimu uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kuwataka waondoke, basi itazindua mipango mipya ya kuwatimua askari hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Tishio la kurejea upya kundi la Daesh huko Iraq
Feb 08, 2021 22:58Harakati za kundi la Daesh na pia mapigano kati ya kundi la Hashdu Shaabi la Iraq na masalia ya kundi hilo la kigaidi yameongezeka nchini humo katika miezi ya karibuni.
-
Misafara 2 ya kijeshi ya Marekani yashambuliwa nchini Iraq
Feb 04, 2021 23:21Duru za kiusalama zimeripoti habari ya kushambuliwa misafara miwili ya kilojistiki ya jeshi vamizi la Marekani katikati na kusini mwa Iraq.
-
Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuunga mkono usalama wa Iraq kwa nguvu zake zote
Feb 01, 2021 04:43Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran inauhesabu usalama wa jirani yake Iraq kuwa ni sawa na usalama wake, hivyo itatumia nguvu zake zote kuunga mkono usalama wa nchi hiyo.
-
Al Kadhimi asisitiza kulipiza kisasi kwa wahusika wa milipuko ya Baghdad
Jan 31, 2021 04:04Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, wale wote walioihusika katika kuwaua raia wasio na hatia katika milipuko ya karibuni katika maidani ya al Tayaran huko Baghdad mji mkuu wa nchi hiyo watalipizwa kisasi.
-
Makao ya uongozi mpya wa Daesh huko al Anbar yasambaratishwa
Jan 28, 2021 22:36Wapiganaji wa Harakati ya Hashdu Shaabi ya Iraq wamesambaratisha makao ya uongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la jangwani katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Kuanza oparesheni ya pamoja ya kiusalama kati ya al Hashdu Shaabi na jeshi la Iraq huko al Anbar
Jan 27, 2021 08:31Harakati ya Hashdu Shaabi na jeshi la Iraq zimeanzisha oparesheni ya pamoja katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo dhidi ya magaidi wa Daesh.