-
Hizbullah: Kumwekea vikwazo Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ni mwendelezo wa jinai za Marekani
Jan 09, 2021 09:24Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mkuu wa Jeshi la kujitolea la wananchi wa Iraq la Al-Hashdu-Sha'abi ni "jinai".
-
Wairaq wafurahishwa na waranti wa kusakwa Trump ili akajibu mashtaka ya mauaji
Jan 08, 2021 03:34Katibu Mkuu wa "Kataib al Shuhada" ya Iraq ameipongeza idara ya mahakama ya nchi hiyo kwa kutoa waranti wa kutiwa mbaroni rais wa Marekani, Donald Trump ili akajibu mashtaka ya kuwaua kidhulma kamanda Qassem Soleimani na Abou Mahdi al Muhandis ndani ya ardhi ya Iraq.
-
Mahakama ya Iraq yaamuru Trump akamatwe kwa mauaji ya makamanda wa muqawama
Jan 07, 2021 23:14Mahakama ya Ar-Rasaafah nchini Iraq inayofuatilia kesi ya mauaji ya makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi al-Muhandis imetoa waranti wa kukamatwa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Makombora yenye shabaha kali ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran ndilo tishio kubwa zaidi kwa Israel 2021
Jan 07, 2021 23:13Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimetangaza kuwa tishio kubwa zaidi kwa utawala huo katika mwaka huu wa 2021 ni makombora yenye shabaha kali ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 01:11Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Wanajeshi wa Marekani nchini Iraq; mwaka mmoja baada ya kupasishwa mpango wa Bunge
Jan 05, 2021 23:15Jumanne ya jana tarehe 5 Januari ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Bunge la Iraq lilipopasisha mpango wa kufukuzwa nchini humo askari wa Marekani.
-
Iraq yaishitaki Marekani kwa kutumia silaha zenye urani nchini humo
Jan 05, 2021 10:49Mshauri wa masuala ya kisheria wa Bunge la Iraq amefungua mashtaka dhidi ya Marekani katika mahakkama ya Sweden kwa tuhuma za kukiuka mamlaka ya kujitawala ya Iraq na kutumia silaha zenye uranium dhidi ya nchi hiyo.
-
Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama
Jan 02, 2021 23:24Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, lengo la maandamano makubwa yatakayofanywa leo na wananchi wa Iraq kwa mnasaba wa kukumbuka siku walipouliwa shahidi makamanda wa muqawama ni kutangazwa upinzani dhidi ya uwepo kijeshi wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa
Dec 28, 2020 08:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia ya kuipatia ufumbuzi mizozo na mivutano inayoikabili Afghanistan ni utatuzi wa kisiasa.
-
Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq
Dec 27, 2020 20:50Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.