-
Wairaqi waandamana kulaani Marekani kwa kuwaua makamanda wa vita dhidi ya ugaidi
Dec 27, 2020 12:02Watu wa Iraq wameandamana katika mji mkuu, Baghdad, kulaan kitendo cha kigaidi cha Marekani cha kuwaua makamanda wakuu wa vita dhidi ya ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwanamapmabano mwenza wa Iraq Abu Mahdi al Muhandis.
-
Mvutano kati ya Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq na serikali ya Iraq; sababu na malengo yake
Dec 27, 2020 10:20Usiku wa kuamkia Jumatatu ya wiki iliyopita ubalozi wa Marekani ulioko kwenye eneo lenye ulinzi mkali, linalojulikana kama Green Zone, katika mji mkuu wa Iraq Baghdad ulishambuliwa kwa maroketi.
-
Nouri al-Maliki: Qassem Suleimani alifelisha njama za kubadilisha utambulisho wa eneo
Dec 25, 2020 23:15Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq Nouri Al-Maliki amesema, kwa mapambano, uvumlivu mkubwa na jihadi yake, shahid Qassem Suleimani aliweza kufelisha na kuzima njama nyingi za maadui za kutaka kubadilisha utambulisho wa eneo la Asia Magharibi.
-
Misafara mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani yashambuliwa nchini Iraq
Dec 25, 2020 23:11Duru za kiusalama nchini Iraq zimeripoti kuwa misafara mingine mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani imeshambuliwa katika maeneo ya Dhi Qar, Diwaniya na Babil.
-
Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani
Dec 25, 2020 23:09Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.
-
Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani
Dec 24, 2020 22:59Wananchi na makundi mbalimbali ya Wairaqi wanajiandaa kwa hauli na maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu alipouliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi Al-Muhandis.
-
Zarif amshambulia Trump kwa kuihusisha Iran na mashambulio ya Iraq
Dec 24, 2020 04:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemjia juu Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameituhumu Tehran kuwa imehusika na mashambulio ya maroketi dhidi ya ubalozi wa US mjini Baghdad, Iraq.
-
Harakati ya An-Nujabaa: Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni kambi ya jeshi
Dec 22, 2020 09:15Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq amesema, ubalozi wa Marekani mjini Baghdad si kituo cha kidiplomasia bali ni kambi ya jeshi la nchi hiyo.
-
Mashambulio ya maroketi dhidi ya eneo la kijani Baghdad; watekelezaji na malengo yao
Dec 22, 2020 06:53Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq Baghdad usiku wa kuamkia jana Jumatatu ulishambuliwa kwa akali na maroketi manane.
-
Askari wa Iraq waangamiza magaidi, wazima hujuma
Dec 20, 2020 03:58Askari wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi Iraq maarufu kama Hashdu Shaabi wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi watano sambamba na kuzima hujuma ya kigaidi katika eneo la al-Oaista mjini Jurf al Nasr mkoani Babel, kusini mwa mji mkuu Baghdad.