Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Hizbullah ya Iraq: Muqawama utaendelea kulitetea taifa la Palestina kwa roho na mali

    Hizbullah ya Iraq: Muqawama utaendelea kulitetea taifa la Palestina kwa roho na mali

    Dec 12, 2020 22:17

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema, wafanya mapatano wa Kiarabu wasio na irada hawana uwezo wa kuzifuta haki za taifa la Palestina na ikasisitiza kwamba, muqawama utaendelea kulihami na kulitetea taifa la Palestina kwa roho na mali.

  • Wabunge Iraq waitaka serikali ijibu mapigo kwa kutowapatia viza raia wa Imarati

    Wabunge Iraq waitaka serikali ijibu mapigo kwa kutowapatia viza raia wa Imarati

    Nov 27, 2020 08:33

    Baada serikali ya Imarati kusitisha utoaji viza kwa raia wa Iraq wanaotaka kuingia nchini humo, sambamba na kuwaweka kizuizini katika mazingira ya kutatanisha Wairaqi kadhaa wanaoishi nchini humo, wabunge wa Iraq wameitaka serikali yao isitishe kutoa viza kwa raia wa Imarati pia wanaotaka kuingia nchini humo.

  • Kuondoka askari wa Marekani nchini Iraq; msimamo wa serikali ya Baghdad na makundi ya mapambano

    Kuondoka askari wa Marekani nchini Iraq; msimamo wa serikali ya Baghdad na makundi ya mapambano

    Nov 24, 2020 23:12

    Katika hali ambayo viongozi wa serikali ya Baghdad wanasema kuwa askari 500 wa Marekani wataanza kutoka katika ardhi ya Iraq miezi miwili ijayo, Sheikh Qais al-Khaz'ali, Katibu Mkuu wa Harakati ya Asaib Ahlul Haq, karibuni hivi alitetea silaha za harakati hiyo ya mapambano ya Kiislamu akisisitiza kuwa muhula wa usitishaji vita na Marekani umekwisha.

  • Bunge la Iraq: Serikali inapasa kuwasilisha matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Suleimani

    Bunge la Iraq: Serikali inapasa kuwasilisha matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Suleimani

    Nov 23, 2020 00:56

    Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq imeripoti kuwa inaendelea kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ili iwasilishe haraka iwezekanavyo matokeo ya uchunguzi kuhusu mauaji ya Kamanda Luteni Jenerali Qassim Suleimani na Abu Mahdi al Muhandis.

  • Ubalozi wa Marekani Iraq ndio pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga

    Ubalozi wa Marekani Iraq ndio pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga

    Nov 22, 2020 00:42

    Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, ubalozi wa Marekani nchini humo ndio ubalozi pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga.

  • Ushirikiano wa genge la kigaidi la ISIS na Marekani wazidi kufichuliwa

    Ushirikiano wa genge la kigaidi la ISIS na Marekani wazidi kufichuliwa

    Nov 20, 2020 23:04

    Televisheni moja ya Iraq imesambamba nyaraka mpya zinazoonesha kuweko ushirikiano mkubwa baina ya genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA.

  • Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq

    Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq

    Nov 20, 2020 00:09

    Shirika lisilo la kiserikali la Airwars lenye makao yake mjini London Uingereza limeripoti kuwa, raia wasiopungua 13,000 wa Syria na Iraq wameuawa katika mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh wa Marekani katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

  • Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi

    Hitilafu katika kambi ya Warepublican kuhusu kuondolewa askari wa Marekani Asia Magharibi

    Nov 17, 2020 22:53

    Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi hususan Afghanistan na Iraq ambao unatarajiwa kutangazwa katika siku za usoni na iliyokuwa moja ya ahadi muhimu za Trump umekabiliwa na upinzani mkali wa chama chake cha Repulican katika Kongresi ya nchi hiyo.

  • Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua

    Meja Jenerali Salami: Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kwa waliomuua

    Nov 16, 2020 04:29

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza tena akisema: "Tutalipiza kisasi cha damu ya kamanda shahidi Qassim Suleimani kwa waliomuua."

  • Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka

    Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka

    Nov 15, 2020 04:37

    Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesisitiza kwamba, hakutakuwa na tofauti yoyote kubadilishwa sura ya rais wa Marekani, lililo muhimu kwa Iraq ni kutekelezwa muswada uliopasishwa na bunge la nchi hiyo wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS