Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Waziri wa Ulinzi wa Iraq aonana na Brigedia Jenerali Baqeri

    Waziri wa Ulinzi wa Iraq aonana na Brigedia Jenerali Baqeri

    Nov 15, 2020 04:35

    Waziri wa Ulinzi wa Iraq ambaye yuko ziarani hapa nchini Iran ameonana na kuzungumza na Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikozi vya Ulinzi vya Iran.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kudhamini mahitaji ya vikosi vya ulinzi vya Iraq

    Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kudhamini mahitaji ya vikosi vya ulinzi vya Iraq

    Nov 15, 2020 00:32

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kudhamini mahitaji ya vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa shabaha ya kuimarisha uwezo wa kiulinzi wa nchi hiyo.

  • Iraq yasisitiza tena msimamo wake wa kupinga kuanzisha mapatano na utawala haramu wa Israel

    Iraq yasisitiza tena msimamo wake wa kupinga kuanzisha mapatano na utawala haramu wa Israel

    Nov 14, 2020 08:42

    Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq kwa mara nyingine tena amesisitia msimamo wa hapo awali wa nchi hiyo wa kupinga kuanzisha mapatano na utawala haramu wa Israel

  • Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria

    Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria

    Nov 12, 2020 22:06

    Vyombo vya usalama vimefichua kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetuma ujumbe wa taasisi za upelelezi na ujasusi huko Israel kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kurejesha makundi ya kigaidi katika miji ya kusini mwa Syria inayopakana na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni za Palestina.

  • Sheria mpya ya uchaguzi Iraq; namna ilivyotungwa na jinsi ilivyopokewa

    Sheria mpya ya uchaguzi Iraq; namna ilivyotungwa na jinsi ilivyopokewa

    Nov 08, 2020 23:02

    Sheria mpya ya uchaguzi ya Iraq imesainiwa na rais Barham Salih baada ya kupitishwa na bunge la nchi hiyo.

  • Muungano wa al Faf'h Iraq: Trump na Biden ni pande mbili za sarafu moja

    Muungano wa al Faf'h Iraq: Trump na Biden ni pande mbili za sarafu moja

    Nov 04, 2020 04:15

    Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Donald Trump na Joe Biden ni pande mbili za sarafu moja na kwamba, yeyote atakayeshinda uchaguzi wa rais wa Marekani baina ya wawili hao atahudumia maslahi ya harakati za Wazayuni za kutaka kujipanua zaidi katika eneo hili la magharibi mwa Asia.

  • Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq

    Maandamano ya kulaani misimamo ya Macron dhidi ya Uislamu yafanyika Iran na Iraq

    Oct 29, 2020 03:23

    Maelfu ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Kiislamu.

  • Serikali ya Iraq: Hatuitambui Ikhwanul Muslimin ya Iraq kuwa ni kundi la kigaidi

    Serikali ya Iraq: Hatuitambui Ikhwanul Muslimin ya Iraq kuwa ni kundi la kigaidi

    Oct 25, 2020 23:01

    Msemaji wa serikali ya Iraq amesema kundi la Ikhwanul Muslimin ni sehemu ya mchakato wa kisiasa wa nchi hiyo na wala serikali hiyo haiitambui harakati hiyo kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi

    Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi

    Oct 24, 2020 04:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuwekea vikwazo Balozi wa Marekani nchini Iraq, Matthew Tueller kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.

  • Iraq: Baghdad inaunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiamulia muskatabali wao

    Iraq: Baghdad inaunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiamulia muskatabali wao

    Oct 23, 2020 04:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekanusha habari za uvumi zinazodai kuwa Baghdad inataka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, taifa hilo linaunga mkono haki ya Wapalestina ya kujiamulia muskatabali wao wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS