-
Magaidi 5 wa Daesh watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin Iraq
Oct 20, 2020 08:41Askari jeshi wa Iraq wamewatia mbarono magaidi watano wa kundi la kitakfiri la Daesh katika oparesheni waliyoifanya katika mkoa wa Salahuddin nchini humo.
-
Uungaji mkono wa kisiasa wa watu wa Iraq kwa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi
Oct 18, 2020 03:11Hatua ya mwanachama mmoja wa chama cha Demokrasia cha Kusdistan KDP ya kuivunjia heshima Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq, Hashdu sh-Sha'abi, imekabiliwa na radiamali kali ya kisiasa ya wananchi hao ambao wameandamana na hata kuchoma moto ofisi ya chama hicho mjini Baghdad.
-
Askari elfu 12 wa al Hashdul Shaabi wajitayarisha kusimamia maombolezo ya kifo cha Mtume Muhammad (saw), Iraq
Oct 15, 2020 07:58Harakati ya al Hashdul Shaabi ya Iraq imetangaza kuwa inatekeleza mpango wa usalama na kutoa huduma kwa maelfu ya Waislamu watakaoshiriki katika shughuli ya maombolezo na kukumbuka tukio chungu la kuaga dunia Mtume Muhammad (saw) utakaosimamiwa na askari elfu 12 wa harakati hiyo hususan katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Harakati ya Muqawama ya Iraq yatahadharisha kuhusu kuchelewa Marekani kuondoka nchini humo
Oct 11, 2020 23:39Msemaji wa Harakati ya Kataeb Hizbullah ya Iraq ameashiria ombi la Marekani la kusitishwa operesheni zinazolenga vikosi vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa: Wanamapambano wa Iraq hawatakaa kimya hata kidogo mkabala na kuchelewa Washington kuondoa wanajeshi wake katika ardhi ya Iraq.
-
Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani
Oct 08, 2020 04:02Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.
-
Mitazamo miwili kuhusiana na matukio ya usalama nchini Iraq
Oct 06, 2020 09:21Katika majuma ya hivi karibuni Iraq imeshuhudia mashambulio ya mara kwa mara dhidi ya ubalozi wa Marekani na vile vile mashambulio ya Washington dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Malengo ya Marekani ya kuwasilisha mpango wa kufunga ubalozi wake Baghdad
Oct 03, 2020 03:30Serikali ya Marekani imetangaza mpango wa kufunga ubalozi wake katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kutokana na kuendelea mashambulizi ya maroketi dhidi ya ubalozi huo.
-
Iraq; mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba Mosi
Oct 02, 2020 04:03Oktoba Mosi mwaka uliopita, Iraq ilishuhudia maandamano makubwa ya watu yaliyogeuka na kuwa ya vurugu na hivyo kupelekea maelfu ya watu kuuawa na kujeruhiwa.
-
Ijumaa tarehe Pili Oktoba mwaka 2020
Oct 01, 2020 21:07Leo ni Ijumaa tarehe 14 Safar 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba mwaka 2020.
-
Tishio la Mike Pompeo la kufunga ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Sep 30, 2020 22:57Marekani imekuwa nchini Iraq kwa upana zaidi tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na hadi sasa kuna maelfu ya wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu.