-
Walioshambulia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni mamluki wa Washington
Sep 27, 2020 10:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa ya Iraq amesema, shambulio lililolenga maeneo jirani na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad limefanywa na mamluki wa Marekani yenyewe.
-
"Shambulizi la Marekani dhidi ya mashujaa wa kukabiliana na ugaidi ni tusi kwa Iraq"
Sep 27, 2020 04:33Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema shambulizi la jeshi la Marekani lililoua shahidi mashujaa wa kupambana na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi mapema mwaka huu ni tusi kwa mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Muqtada al-Sadr: Iraq si koloni la nchi ajinabi
Sep 27, 2020 04:27Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Wairaqi hawataruhusu nchi yao igeuzwe koloni la nchi yoyote ajinabi.
-
Pompeo atishia kufunga ubalozi wa Marekani nchini Iraq endapo utaendelea kushambuliwa
Sep 26, 2020 04:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametoa vitisho kwa viongozi wa Iraq kwamba Washington inaweza kuamua kuufunga ubalozi wake ulioko mjini Baghdad.
-
Saudia, Imarati, Israel; zashirikiana kuchochea machafuko nchini Iraq
Sep 22, 2020 08:07Mbunge mmoja nchini Iraq amefichhua njama zinazofanywa na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel, za kuzusha machafuko nchini Iraq.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kundi la kigaidi la DAESH linajiimarisha upya kijeshi nchini
Sep 20, 2020 02:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametahadharisha kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) linajizatiti na kujiimarisha upya kijeshi ndani ya nchi hiyo.
-
Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 14, 2020 02:03Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Ayatullah Sistani aunga mkono uchaguzi wa mapema wa Bunge nchinI Iraq
Sep 13, 2020 22:12Kiongozi mkuu wa kidini wa Iraq ametangaza uungaji mkono wake kwa uchaguzi wa mapema wa bunge ambao ni miongoni mwa matakwa muhimu ya waandamanaji ambao wanaendelea kufanya maandamano kwa miezi kadhaa sasa tangu mwaka jana dhidi ya ufisadi na hali mbaya ya uchumi nchini Iraq.
-
Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?
Sep 11, 2020 03:06Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mufti wa kundi la kigaidi la Daesh atiwa mbaroni Kirkuk, Iraq
Sep 09, 2020 20:45Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni Mufti wa kundi la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk kaskazini mwa nchi hiyo.