-
Safari ya Macron nchini Iraq, jitihada za kutunisha nafasi ya Ufaransa eneo la magharibi mwa Asia
Sep 03, 2020 04:30Katika mwezi mmoja uliopita Ufaransa imezidisha harakati zake za kidiplomasia kupitia safari za rais wa nchi hiyo katika nchi za Lebanon na Iraq katika fremu ya kutaka kukuza na kuzidisha nafasi ya Paris katika matukio ya eneo la magharibi mwa Asia.
-
Muungano wa Fat'h: Trump hana haki ya kuainisha wakati wa kubakia wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Aug 28, 2020 22:07Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hana haki ya kuainisha wakati wa kuendelea kuwepo wanajehi wa nchi yake katika ardhi ya Iraq.
-
Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 27, 2020 06:24Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuhusu mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba, hilo ni suala la ndani linalozihusu pande hizo mbili.
-
Iraq kuendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia kupambana na Daesh
Aug 26, 2020 23:34Kamandi ya operesheni za pamoja nchini Iraq imesisitiza kuwa, nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Iran, Syria na Russia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS na kubadilishana taarifa.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 07:19Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.
-
Allawi atahadharisha kuhusu njama za Marekani dhidi ya Iraq
Aug 23, 2020 21:58Mkuu wa Muungano wa al Wataniya wa Iraq amesema kuwa Marekani ikishirikiana na Uingereza na Ufaransa, inaongoza njama dhidi ya Iraq kwa kisingizio cha muungano wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Watu 6 wauawa na kujeruhiwa katika miripuko miwili ya mabomu nchini Iraq
Aug 22, 2020 03:12Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea mashariki na kaskazini mwa Iraq imepelekea askari sita wa kikosi cha kupambana na ugaidi kuuawa na kujeruhiwa.
-
Migawanyiko ya kisiasa yazidi Iraq baada ya safari ya Waziri Mkuu Al Kadhimi nchini Marekani
Aug 22, 2020 03:02Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi nchini Marekani na mkutano wake na Rais Donald Trump wa nchi hiyo huku kukiwa na mgongano wa wazi baina ya "yale yanayosemwa" na "uhalisia wa mambo."
-
Al Kadhimi: Wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika kipindi cha miaka mitatu
Aug 21, 2020 22:28Waziri Mkuu wa Iraq ameeleza yaliyojiri katika mazungumzo yake na viongozi wa Marekani katika safari yake nchini humo akisema kwamba: Trump amesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani wataondoka Iraq katika muda wa miaka mitatu ijayo.
-
Makundi ya Muqawama Iraq: Wamarekani wasipoondoka, hawatosalimika na mashambulio yetu
Aug 21, 2020 03:44Makundi ya muqawama ya Iraq yamesisitiza ulazima wa wanajeshi wa Marekani kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo na kuonya kuwa, ikiwa hilo halitofanyika, yataanzisha makabiliano ya kijeshi dhidi yao.