-
Malengo ya safari ya Mustafa al Kadhimi nchini Marekani
Aug 20, 2020 03:30Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al Kadhimi amewasili Washington kwa safari ya kikazi ya siku mbili na leo Alkhamisi tarehe 20 Agosti alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Msafara wa silaha na zana za kijeshi za Marekani kutoka Kuwait waingia Basra, Iraq
Aug 17, 2020 08:44Duru moja ya masuala ya usalama ya Iraq imeripoti kuwa, msafara wa malori ya kijeshi ya Marekani yaliyosheheni silaha na zana nyingi za kijeshi umeingia katika ardhi ya nchi hiyo kwa lengo la kuhamishia silaha na zana hizo katika kituo cha kijeshi cha Ainul-Asad.
-
Mufti Mkuu wa Iraq atoa wito wa kuanzishwa mapambano dhidi ya uvamizi wa Marekani
Aug 16, 2020 06:59Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ametoa wtito kwa vijana kujiandaa kwa ajili ya kuanzisha mapambano dhidi ya uvamizi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Bunge la Iraq kufungua faili la vibaraka za Saudia wenye mfungamano na Marekani
Aug 09, 2020 23:55Mjumbe wa Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Bunge la Iraq amesema kuwa bunge hilo na jumuiya za wananchi zinafanya jitihada za kufungua faili la vibaraka wa Saudi Arabia wenye mfungamano na Marekani nchini Iraq.
-
Rais wa Iraq aunga mkono kufanyika uchaguzi wa mapema nchini humo
Aug 04, 2020 06:46Rais wa Iraq amekaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al Kadhimi kuhusu kufanyika mapema uchaguzi wa bunge.
-
Radiamali mbalimbali kwa tarehe ya kuitishwa uchaguzi wa mapema wa Bunge nchini Iraq
Aug 02, 2020 22:42Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq ameitangaza tarehe 6 Juni ya mwaka ujao wa 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa mapema wa Bunge.
-
Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili
Aug 01, 2020 05:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Uchaguzi wa mapema wa Bunge utafanyika Juni 6, 2021
Aug 01, 2020 02:52Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhimi ametangaza kuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 6 Juni 2021 ndipo utapofanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa bunge la nchi hiyo.
-
'Ndege zisizo na rubani za Marekani na Israel ndizo zilizoshambulia kambi za Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq'
Jul 30, 2020 21:56Mbunge wa Iraq Falih al-Khazali amesema, kuna nyaraka zinazoonyesha kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zilizohusika katika hujuma ya shambulio la kijeshi dhidi ya vituo vya jeshi la kujitolea la wananchi wa nchi hiyo la Al-Hashdu-Sha'abi.
-
Mufti wa Masuni Iraq atoa fatua ya kutilia mkazo ulazima wa majeshi vamizi kuondoka nchini humo
Jul 24, 2020 03:45Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq amesisitiza udharura na ulazima wa vikosi vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo.