Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Kiongozi Muadhamu: Iran inataka kuona Iraq yenye izza na huru, Marekani ni adui

    Kiongozi Muadhamu: Iran inataka kuona Iraq yenye izza na huru, Marekani ni adui

    Jul 21, 2020 23:05

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Iran inataka kuona Iraq yenye izza sambamba na kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo na mshikamano wa ndani; kinyume chake Marekani ni adui halisi na haitaki kuwepo Iraq inayojitawala, yenye nguvu na yenye serikali iliyochaguliwa na waliowengi.

  • Rouhani: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vinafungamana

    Rouhani: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vinafungamana

    Jul 21, 2020 22:00

    Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi wamesema uhusiano wa Tehran an Baghdad unavuka mipaka ya nchi mbili hizi jirani, na kusisitiza kuwa: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vina mfungamano mkubwa.

  • Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Jul 19, 2020 06:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Iraq daima zinapaswa kuwa macho na tayari kwa ajili ya kukabiliana na njama za magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Ijumaa, Julai 17, 2020

    Ijumaa, Julai 17, 2020

    Jul 16, 2020 22:04

    Leo ni Ijumaa tarehe 25 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na 17 Julai mwaka 2020.

  • Jumanne, Julai 14, 2020

    Jumanne, Julai 14, 2020

    Jul 13, 2020 21:57

    Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na Julai 14 mwaka 2020.

  • Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq

    Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq

    Jul 12, 2020 03:08

    Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Kaburi la umati lenye maiti za watu 600 lagunduliwa kaskazini mwa Iraq

    Kaburi la umati lenye maiti za watu 600 lagunduliwa kaskazini mwa Iraq

    Jul 06, 2020 21:59

    Kaburi la umati la watu waliouawa na kundi la kigaidi la Daesh limegunduliwa katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq.

  • Maelfu ya Wairaqi waandamana, walaani gazeti la Saudia kwa kumvunjia heshima Ayatullah Sistani

    Maelfu ya Wairaqi waandamana, walaani gazeti la Saudia kwa kumvunjia heshima Ayatullah Sistani

    Jul 05, 2020 21:59

    Maelfu ya Wairaqi wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad wakilaani hatua ya gazeti linalomilikiwa na Saud Arabia la al Sharq al Awsat ya kumvunjia heshima kiongozi mkuu wa kidini nchini humo, Ayatullah Ali Sistani.

  • Jumatatu tarehe 6 Julai 2020

    Jumatatu tarehe 6 Julai 2020

    Jul 05, 2020 21:58

    Leo ni Jumatatu tarehe 14 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Julai 6 mwaka 2020.

  • Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad

    Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad

    Jul 05, 2020 02:04

    Serikali ya Iraq imeilaani Marekani kwa kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wake mjini Baghdad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS