-
Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria
Jul 02, 2020 07:40Wanajeshi wa Marekani wamepora shehena ya matrela 30 ya mafuta ya petroli kutoka visima vya mafuta vya Syria na kuyapeleka Iraq.
-
Hashd al Shaabi: Marekani inataka kumalizia hamaki zake kwetu
Jun 29, 2020 03:37Kamanda wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi amesema kuwa, Marekani bado imejawa na hamaki na inataka kumalizia hamaki zake hizo kwa harakati hiyo ya wananchi ambayo inavuruga njama za Wamarekani hasa baada ya harakati hiyo kulishinda genge la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoundwa na Marekani.
-
Al Hashdul Shaabi yaipongeza Iran kwa msaada wake katika kupambana na ugaidi
Jun 13, 2020 22:13Mkuu wa Idara ya Habari ya harakati ya wananchi wa Iraq ya al Hashdul Shaabi ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Iraq.
-
Mapatano ya Washington na Baghdad kuhusu kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq
Jun 12, 2020 03:16Kumefikiwa mapatano ya kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq. Mapatano hayo yamefikiwa Alhamisi katika mkutano uliofanyika baina ya Abdulkarim Hashemi Mustafa mwakilishi wa serikali ya Iraq na David Hale mwakilishi wa serikali ya Marekani.
-
Waitifaki wa Marekani wapunguza nusu ya askari wao nchini Iraq
Jun 11, 2020 03:30Nchi 29 wanachama wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq zimepunguza kwa asilimia 50 idadi ya wanajeshi wao vamizi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Iraq na Marekani; dalili na matokeo yake
Jun 11, 2020 03:07Mazungumzo kati ya viongozi wa Iraq na Marekani yameanza leo Alkhamisi tarehe 11 Juni.
-
Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq
Jun 09, 2020 03:32Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran na Iraq; majirani wawili wenye nyuga nyingi za ushirikiano wa kiuchumi
Jun 04, 2020 21:54Iran na Iraq ni nchi mbili jirani zenye nyuga na mambo mengi yanayozikutanisha pamoja na zina pia nafasi kubwa, pana na za kila namna za kupanua ushirikiano wao katika nyanja tofauti za kiuchumi kama vile sekta ya nishati.
-
Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jun 03, 2020 02:58Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.
-
Mpasuko mkubwa waibuka ndani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)
May 31, 2020 00:18Msemaji wa Jeshi la Iraq ameeleza kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya safu ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) hasa baada ya kuuawa kiongozi wa genge hilo, Abubakar Al-Baghdad.