Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq

    Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq

    Mar 13, 2020 10:50

    Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.

  • Hashdu Sha'abi yatekeleza operesheni ya mafanikio katika mikoa minne ya Iraq

    Hashdu Sha'abi yatekeleza operesheni ya mafanikio katika mikoa minne ya Iraq

    Mar 01, 2020 02:41

    Kamandi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq imetangaza kumalizika kwa operesheni ya mafanikio makubwa dhidi ya magaidi katika mikoa minne ya Al-Anbar, Diyala, Kirkuk na Salahdin.

  • Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq

    Feb 28, 2020 05:35

    Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.

  • Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan

    Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan

    Feb 25, 2020 01:22

    Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.

  • Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Kukinzana ripoti rasmi ya White House na matamshi ya Trump kuhusu kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani

    Feb 16, 2020 02:48

    Tarehe tatu Januari mwaka huu wa 2020, rais wa Marekani, Donald Trump, alifanya jinai ya kutoa amri ya kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na wanajihadi wenzake tisa karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad, huko Iraq.

  • Muungano wa 'Sairoon' kuchunguza mpango wa kuwatimua haraka askari wa Kimarekani nchini Iraq

    Muungano wa 'Sairoon' kuchunguza mpango wa kuwatimua haraka askari wa Kimarekani nchini Iraq

    Feb 04, 2020 14:12

    Muungano wa 'Sairoon' katika bunge la Iraq umeitisha kikao kikuu cha kitaifa kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kuwatimua haraka askari wa Marekani kutoka katika ardhi ya nchi hiyo.

  • IRGC: 'Majeraha ya Ubongo' ni njia ya kuficha idadi ya askari wa Marekani waliouawa katika hujuma ya makombora ya Iran

    IRGC: 'Majeraha ya Ubongo' ni njia ya kuficha idadi ya askari wa Marekani waliouawa katika hujuma ya makombora ya Iran

    Feb 01, 2020 13:38

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema madai ya Marekani kuhusu idadi kubwa ya wanajeshi wake waliopata 'majeraha ya ubongo' kufuatia makombora ya Iran ya ulipizaji kisasi yaliyolenga kituo cha kijeshi cha Ain al Assad nchini Iraq ni njia ya kuficha idadi ya wanajeshi waliouawa katika oparesheni hiyo.

  • Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq

    Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq

    Jan 31, 2020 07:05

    Baada ya kupita siku mbili tu tangu askari wa Marekani walipomuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la IRGC na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine walioandamana nao katika uwanja wa ndege wa Baghdad, tarehe 5 Januari, bunge la Iraq lilipitisha muswada wa kuwatimua askari wa muungano vamizi eti wa kupambana na Daesh (ISIS) wakiwemo askari wa Marekani.

  • Hizbullah: Mapinduzi ya wananchi wa Iraq yataendelea hadi Wamarekani watakapofurushwa Asia Magharibi

    Hizbullah: Mapinduzi ya wananchi wa Iraq yataendelea hadi Wamarekani watakapofurushwa Asia Magharibi

    Jan 25, 2020 11:37

    Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Kimarekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.

  • Hizbullah: Maandamano ya Wairaqi ni dhihirisho wanapinga uvamizi wa Marekani

    Hizbullah: Maandamano ya Wairaqi ni dhihirisho wanapinga uvamizi wa Marekani

    Jan 25, 2020 08:22

    Harakati ya Muaqawama ya Hizbullah ya Lebanon imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga uwepo wa askari wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS