-
Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo
Nov 10, 2019 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.
-
Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi: Tunafungamana na maelekezo ya maraajii wa kidini
Nov 09, 2019 04:37Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq, imesisitizia kufungamana kikamilifu na maelekezo ya maraajii wa kidini kama ambavyo pia inaunga mkono matakwa halali ya wananchi.
-
Jeshi la Iraq laamuru kutiwa mbaroni wahusika wote wa uharibifu kwenye maandamano nchini humo
Nov 08, 2019 04:42Msemaji wa Kamanda wa Majeshi ya Iraq ametoa amri yenye lengo la kukabiliana na wahusika wa uharibifu katika mitaa ya nchi hiyo.
-
Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za "Madaesh" wake
Nov 06, 2019 05:21Nchi kubwa za barani Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa zina mchango mkubwa wa kuundwa na kupata nguvu magenge mbalimbali ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) na lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwatumia magaidi hao kuipindua serikali halali ya Syria. Hata hivyo nchi hizo zimefeli vibaya.
-
Marekani na Israel zachochea na kuunga mkono machafuko ya Iraq
Nov 06, 2019 04:35Rais wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameeleza kufurahishwa na machafuko ya Iraq na kusema wanaunga mkono hali hiyo.
-
Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq
Nov 04, 2019 08:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahlul Haq ya nchini Iraq amesema kuwa pande tatu za Marekani, Imarati na utawala wa Kizayuni zimeazimia kushadidisha machafuko na mapigano huko Iraq.
-
Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi yatangaza kuwaunga mkono waandamanaji Iraq
Nov 01, 2019 09:29Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi Iraq imetangaza kuwa, haiingilii masuala ya kisiasa nchini humo lakini inaunga mkono matakwa halali ya wananchi kupitia maandamano ya amani.
-
Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni
Oct 31, 2019 07:04Kamanda wa Operesheni ya Baghdad amesema kuwa magaidi waliowalenga na kuua raia wanaoandamana nchini humo wametiwa nguvuni.
-
Kiongozi Muadhamu: Watu wa Iraq, Lebanon wafuatilie matakwa yao ya haki kwa njia za kisheria
Oct 30, 2019 08:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria njama za maadui za kuvuruga usalama katika baadhi ya nchi za eneo na kusema: "Wanaojali Iraq na Lebanon wafahamu kuwa, kipaumbele chao kinapaswa kuwa kuondoa hali ya ukosefu wa usalama na wananchi wa nchi hizo nao wafahamu kuwa, matakwa yao ya haki yanaweza tu kukidhiwa katika fremu ya mfumo wa kisheria."
-
Mousavi: Iraq na Syria ziliisambaratisha kitambo ISIS kwa msaada wa Iran
Oct 28, 2019 08:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) lilisambaratishwa na Iraq na Syria muda mrefu umepita, kwa msaada wa kilojistiki wa Jamhuri ya Kiislamu.