Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Velayati: Uungaji mkono wa Iran kwa Syria na Iraq umeuokoa ulimwengu wa Kiislamu na hatari kubwa

    Velayati: Uungaji mkono wa Iran kwa Syria na Iraq umeuokoa ulimwengu wa Kiislamu na hatari kubwa

    Nov 08, 2017 04:26

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na muqawama katika nchi za Syria na Iraq umevunja njama za maadui wanaoutakia mabaya ulimwengu wa Kiislamu.

  • SAUTI, Usalama umeendelea kuimarishwa mjini Karbala, Iraq huku mamilioni ya watu wakiendelea kuwasili

    SAUTI, Usalama umeendelea kuimarishwa mjini Karbala, Iraq huku mamilioni ya watu wakiendelea kuwasili

    Nov 07, 2017 13:10

    Usalama umeimarishwa mjini Karbala, Iraq zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika marasimu ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imam Hussein (as) Mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).

  • Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya hali ya juu

    Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya hali ya juu

    Nov 07, 2017 10:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia matembezi ya Arubiani ya Imam Hussein AS na kusema: "Wamebahatika wale ambao wako katika matembezi ya kuelekea katika Ziara ya Arubaini ambao wataisoma Ziara hiyo Siku ya Arubaini wakimhutubu Imam Hussein AS, Imamu wa tatu wa Mashia duniani."

  • Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS

    Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS

    Nov 06, 2017 05:40

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iraq amesema hadi kufikia jana Jumapili Alasiri, wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran walikuwa wameingia Iraq kwa ajili Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2017 04:36

    Ikulu ya Marekani White House imejibu mapigo kwa ukosoaji wa Bush baba na mwana, marais wa zamani wa nchi hiyo kwa rais wa sasa Donald Trump kwa kuzikosoa vikali sera za Marekani wakati wa uongozi wao na kueleza kwamba vita vya Iraq ni "kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani".

  • Njama za Saudia na Marekani nchini Iraq ni kwa ajili ya kukabiliana na Iran

    Njama za Saudia na Marekani nchini Iraq ni kwa ajili ya kukabiliana na Iran

    Nov 04, 2017 11:19

    Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa al Nujabaa nchini Iraq amesisitiza kuwa, lengo kuu la Wamarekani na Wasaudia nchini Iraq ni kuzusha mizozo na ugomvi katika safu ya muqawama kwa ajili ya kuendeleza uadui wao dhidi ya Iran.

  • Ngome ya mwisho ya Daesh Iraq yadhibitiwa, al-Abad atoa pongezi

    Ngome ya mwisho ya Daesh Iraq yadhibitiwa, al-Abad atoa pongezi

    Nov 04, 2017 04:05

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abad ametoa pongezi kufuatia kukombolewa eneo la al-Qaim, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh.

  • Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya

    Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya

    Nov 02, 2017 13:50

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu 'Kataib Hizbullah' nchini Iraq sambamba na kutangaza kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh lilikuwa na mpango wa uharibifu kupitia ajenda za Marekani, Israel na fedha za baadhi ya nchi za Kiarabu, imesema kuwa baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi hilo Iraq inatakiwa kujiweka tayari kwa ajili ya njama mpya za Washington na washirika wake.

  • Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa matamshi ya dharau ya Marekani

    Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa matamshi ya dharau ya Marekani

    Oct 29, 2017 09:51

    Ahmed al-Hajib, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq, amekosoa vikali matamshi ya Heather Nauert, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa hatua yake ya kumtaja Abu Mahdi al-Muhandis, kamanda wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq kuwa eti ni gaidi.

  • Kamanda wa Badr: Itikadi za Kiwahabi zinachochea ugaidi

    Kamanda wa Badr: Itikadi za Kiwahabi zinachochea ugaidi

    Oct 28, 2017 23:34

    Kamanda wa kikosi cha wananchi wa Iraq cha Badr amesema kuwa Daesh na makundi mengine ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati yanaongozwa na fikra na itikadi za Kiwahabi za Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS