Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Oct 27, 2017 01:17

    Marekani na washirika wake katika kile kinachodaiwa ni muungano wa kupambana na Daesh wamekiri kwamba, wameua raia wengine wasiopungua 51 wasio na hatia katika nchi za Syria na Iraq, suala linaloopandisha juu idadi ya raia waliouawa na muungano huo na kufikia watu 786.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi  wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa

    Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa

    Oct 26, 2017 13:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema, umoja wa kaumu tofauti na uungaji mkono wa serikali ya Iraq kwa vikosi vya wananchi na vijana waumini na mashujaa wa nchi hiyo ndio siri ya ushindi uliopatikana karibuni dhidi ya magaidi na waungaji mkono wao.

  • Kamanda wa jeshi la Marekani: Tillerson hajui chochote kuhusu masuala ya Iraq

    Kamanda wa jeshi la Marekani: Tillerson hajui chochote kuhusu masuala ya Iraq

    Oct 24, 2017 10:28

    Kamanda wa zamani wa jeshi la Marekani nchini Iraq, Mark Hertling amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Rex W. Tillerson, hana ufahamu kuhusiana na masuala magumu ya Iraq.

  • Malaysia yasema magaidi 34 wa nchi hiyo wameangamizwa Iraq na Syria

    Malaysia yasema magaidi 34 wa nchi hiyo wameangamizwa Iraq na Syria

    Oct 24, 2017 01:00

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malaysia amesema kuwa, kwa akali magaidi 34 wenye uraia wa taifa hilo wameangamizwa nchini Iraq na Syria.

  • Al-Abadi: Iraq itaendelea kuwa moja iliyoungana na yenye uthabiti

    Al-Abadi: Iraq itaendelea kuwa moja iliyoungana na yenye uthabiti

    Oct 19, 2017 12:43

    Waziri Mkuu wa Iraq Haidar Al Abadi ametangaza kuwa nchi hiyo itabaki kuwa moja na kwamba Iraq yenye uthabiti ni bora kwa uthabiti wa eneo la Mashariki ya Kati na dunia kwa jumla.

  • Nouri al-Maliki: Operesheni ya kuidhibi Kirkuk ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq

    Nouri al-Maliki: Operesheni ya kuidhibi Kirkuk ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq

    Oct 17, 2017 05:06

    Nouri al-Maliki, Makamu wa Rais wa Iraq amesema kuwa operesheni za jeshi la serikali za kuudhibiti mji wa Kirkuk, hazikuwa dhidi ya raia wa Kikurdi bali zilikuwa dhidi ya wale wanaokiuka katiba na sheria za Iraq.

  • Wairaq washerehekea kufurushwa Wakurdi kutoka Kirkuk, al-Abad aamuru kupeperushwa bendera ya Iraq

    Wairaq washerehekea kufurushwa Wakurdi kutoka Kirkuk, al-Abad aamuru kupeperushwa bendera ya Iraq

    Oct 16, 2017 13:07

    Wakazi wa mji wa Kirkuk nchini Iraq wamemiminika katika barabara za mji huo kushangilia ushindi wa jeshi la serikali kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kwa hatua ya kuwafurusha wapiganaji wa Kikurdi mjini hapo na kisha kudhibiti hali ya mambo.

  • Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Oct 11, 2017 23:16

    Sambamba na ushindi wa kila siku wa jeshi la Iraq na makundi ya kujitolea ya wananchi katika mapambano ya kuliangamiza kundi la kigaidi la ِِِDaesh na kusafisha kabisa maeneo yote ya nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza kuwa, kundi hilo litashindwa kikamilifu hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan

    Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan

    Oct 09, 2017 23:37

    Katika kujibu hatua ya viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq ya kukiuka katiba na kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga na kujitangazia uhuru, serikali kuu ya Iraq imechukua maamuzi mapya ya kuliadhibu eneo hilo.

  • Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya

    Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya

    Oct 08, 2017 10:42

    Vyombo vya mahakama nchini Iraq vinatazamiwa kuwatolea hukumu ikiwemo hukumu ya kifo, makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) raia wa nchi za Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS