-
Israel inatumia gesi ya sumu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza
May 16, 2021 00:01Msemaji wa wizara ya afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unatumia gesi ya sumu dhidi ya watu wa eneo hilo. Amesema, hilo limebainika baada ya kuchunguzwa baadhi ya maiti za wahanga wa mashambulio ya utawala huo.
-
Utendaji wa mataifa ya Kiarabu kuhusiana na vita vya Quds
May 15, 2021 23:34Vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vilianza Jumatatu iliyopita.
-
Vita vya "Saifel Quds" na maafa yake kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 15, 2021 00:00Siku kadhaa zimepita tangu kuanza vita vya Israel na muqawama wa Palestina vinavyojulikana kwa jina la "Saifel Quds" na ingawa kutokana na ukatili wake usio na kifani, utawala wa Kizayuni unasababisha hasara kuwba za roho na mali za Wapalestina kwa kushambulia makazi ya watu, lakini vita hivyo ni kengele ya hatari kwa Israel kwa ushahidi mbalimbali.
-
Makundi ya kutetea haki za binadamu yapinga uamuzi wa Ufarasa wa kupiga marufuku maandamano dhidi ya Israel
May 14, 2021 08:07Wanaharakati na makundi ya kutetea haki za binadamu yamepinga uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa wa kupiga marufuku maandamano ya kupinga ukatili na mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina ambayo yamepangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
-
Arsenal yamtetea Elneny kwa kuwaunga mkono Wapalestina, yasema wachezaji wana haki ya kueleza maoni yao
May 14, 2021 05:30Klabu ya soka ya Arsenal nchini Uingereza imemtetea mchezaji wake Muislamu raia wa Misri, Mohamed Elneny aliyetuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter akiwaunga mkono na kueleza mshikamano wake na watu wa Palestina wanaoendelea kushambuliwa na kuuawa na jeshi la utawala haramu wa Israel.
-
Marekani sababu kuu ya jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapaletina
May 12, 2021 21:47Gazeti la Marekani la Washington Post limeashiria mashambulio na jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) na kusema kuwa sio utawala huo tu ndio unazuia kufikiwa lengo lao tukufu la kuwa na nchi huru bali Marekani pia imekuwa na mchango mkubwa katika masaibu na matatizo ambayo yamewasibu kwa miongo kadhaa sasa.
-
Kiongozi Muadhamu apongeza mwamko, kusimama kidete na azma ya taifa la Palestina
May 12, 2021 05:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alasiri ya jana alihutubia mkutano wa wawakilishi wa jumuiya na asasi za wanachuo nchini uliofanyika kwa njia ya intaneti na kuelezea masikitiko yake makubwa kutokana na matukio mawili machungu mno ya umwagaji damu yaliyotokea karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu, huko Afghanistan na Palestina na kulaani jinai zilizofanyika katika nchi hizo.
-
Kikao kisicho na tija cha Baraza la Usalama kuhusu Quds sanjari na ukwamishaji mambo wa Marekani
May 11, 2021 09:47Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali ya mambo huko Quds Palestina kilifanyika Jumatatu ya jana tarehe 10 Mei na kumalizika bila ya natija yoyote.
-
Malengo ya Israel ya kufanya luteka ya kijeshi ya mwezi mzima
May 10, 2021 22:22Tangu juzi Jumapili tarehe 9 Mei, jeshi la utawala wa Kizayuni limeanzisha luteka na mazoezi maalumu ya kijeshi yatakayodumu kwa muda wa mwezi mmoja.
-
Mufti Mkuu wa Syria: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa ikiiunga mkono Palestina
May 10, 2021 03:20Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badreddin Hassoun amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imekuwa ikiliunga mkono kwa hali na mali taifa la Palestina.