Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Wall Street Journal: Mfalme Salman ametofautiana na mrithi wake kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Sep 19, 2020 22:08

    Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limefichua kuwa, kumetokea hitilafu kubwa na kali baina ya Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia na mrithi wake, Muhammad bin Salman baada ya mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.

  • "Muqawama hauna mistari myekundu katika vita dhidi ya Israel"

    Sep 17, 2020 03:41

    Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema muqawama ni chaguo la Wapalestina wote dhidi ya utawala wa Kizayuni, na kwamba makundi ya mapambano hayana mistari myekundu katika vita dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki

    Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki

    Sep 15, 2020 02:59

    Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.

  • Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Palestina: Jumanne ni 'Siku Nyeusi' kwa ulimwengu wa Kiarabu

    Sep 15, 2020 02:58

    Waziri Mkuu wa Palestina amesema ulimwengu wa Kiarabu leo Jumanne utashuhudia 'Siku Nyeusi' katika historia yake, kutokana na hafla itakayofanyika hii leo katika Ikulu ya White House ya Marekani ya kutiwa saini rasmi makubaliano ya kufanywa wa kawaida uhusiano wa nchi mbili za Kiarabu na utawala haramu wa Israel.

  • Mwito watolewa wa kuligeuza jengo la Arab League kuwa ukumbi wa harusi

    Mwito watolewa wa kuligeuza jengo la Arab League kuwa ukumbi wa harusi

    Sep 14, 2020 02:32

    Wanaharakati wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii ya kutaka jengo la makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaliyoko nchini Misri ligeuzwe kuwa ukumbi wa harusi.

  • Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sayyid Hakim: Kamwe Iraq haiwezi kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel

    Sep 14, 2020 02:03

    Kiongozi wa mrengo wa kitaifa wa al-Hikma nchini Iraq amesema katu taifa hilo la Kiarabu haliwezi kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha

    Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha

    Sep 12, 2020 07:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa hatua ya kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni cha fedheha na kudhalilisha.

  • Jordan: Ufunguo wa amani Asia Magharibi ni kutoghusubiwa ardhi za Wapalestina

    Jordan: Ufunguo wa amani Asia Magharibi ni kutoghusubiwa ardhi za Wapalestina

    Sep 12, 2020 06:57

    Jordan imesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na kupatikana amani ya kudumu katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora na kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.

  • Ismail Haniya: Kutolaani kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel ni kuhudumia maslahi ya Wazayuni

    Ismail Haniya: Kutolaani kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel ni kuhudumia maslahi ya Wazayuni

    Sep 11, 2020 00:15

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupingwa muswada wa Palestina kuhusu kulaaniwa uanzishaji uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni kuhudumia maslahi ya utawala huo ghasibu.

  • Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua  balozi zao Quds

    Indhari ya Umoja wa Ulaya kwa Serbia na Kosovo kuhusu kuhamishia na kufungua balozi zao Quds

    Sep 08, 2020 06:36

    Moja ya hatua zilizochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani katika kutoa huduma kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuutambua mji wa Baytul-Muqaddas kama mji mkuu wa utawala huo ghasibu na kuhamishia ubalozi wake katika mji huo Mei mwaka 2018, hatua ambayo ilikabiliwa na upinzani wa walimwengu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS