Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Wabunge Amerika ya Latini wataka kususiwa utawala wa Kizayuni

    Wabunge Amerika ya Latini wataka kususiwa utawala wa Kizayuni

    Sep 07, 2020 22:06

    Wabunge wa baadhi ya nchi za Amerika ya Latini wametaka kutungwe sheria za kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mpango wa utawala huo ghasibu wa kutaka kuteka ardhi zaidi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel

    Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel

    Sep 06, 2020 07:12

    Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.

  • Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5

    Imarati kufungua ubalozi wake Israel ndani ya miezi 5

    Sep 05, 2020 06:53

    Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu amesema nchi hiyo inatazamiwa kufungua ubalozi ndani ya utawala haramu wa Israel katika kipindi cha kati ya miezi mitatu hadi mitano.

  • Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu

    Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu

    Aug 31, 2020 08:11

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv hivi sasa inafanya mazungumzo ya siri na viongozi wengine wengi wa nchi za Kiarabu, juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi hizo.

  • Nasrullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni huduma ya bwerere kwa Netanyahu na Trump

    Nasrullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni huduma ya bwerere kwa Netanyahu na Trump

    Aug 30, 2020 22:04

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kubainisha kuwa: Kitendo hicho cha Abu Dhabi ni huduma bila malipo kwa watawala wa Marekani na Israel wanaoadamwa na misukosuko ya kisiasa.

  • Imarati yazidi kuikumbatia Israel, yaruhusu ndege za utawala huo

    Imarati yazidi kuikumbatia Israel, yaruhusu ndege za utawala huo

    Aug 29, 2020 19:28

    Umoja wa Falme za Kiarabu umebatilisha sheria ya kuususia utawala haramu wa Israel na adhabu ya kukiuka sheria hiyo iliyokuwa imepiga marufuku kufanya miamala yoyote ya kibiashara na kifedha na utawala huo wa Kizayuni.

  • Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo

    Iran: 'Mashariki ya Kati' mpya itaanzishwa kwa kutimuliwa Marekani katika eneo

    Aug 28, 2020 08:05

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: 'Mashariki ya Kati' mpya itaundwa baada ya kuhakikisha Marekani imeshatimuliwa kikamilifu katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Aug 28, 2020 01:59

    Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.

  • Safari ya Mike Pompeo nchini Sudan; juhudi za kuanzishwa uhusiano kati ya Khartoum na Tel-Aviv

    Safari ya Mike Pompeo nchini Sudan; juhudi za kuanzishwa uhusiano kati ya Khartoum na Tel-Aviv

    Aug 27, 2020 03:10

    Licha ya juhudi za Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani za kuifanya Sudan ikubali kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, lakini Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa serikali ya muda ya Sudan amesisitiza kuwa, hana mamlaka ya kuchukua maamuzi kuhusiana na uhusiano na Israel.

  • Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 25, 2020 07:49

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS