Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza

    Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza

    Aug 25, 2020 03:28

    Wapalestina wanne wameuawa shahidi baada ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Palestina huko mashariki mwa Ukanda wa Gaza.

  • Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Aug 24, 2020 23:01

    Msemaji wa serikali ya Algeria amesema kusimama na wananchi wa Palestina, kuwatetea na kuwaunga mkono nio katika sera za nje zilizopewa kipaumbele na taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika.

  • Maulamaa wa Kisunni Iran walaani makubaliano ya Israel na UAE

    Maulamaa wa Kisunni Iran walaani makubaliano ya Israel na UAE

    Aug 24, 2020 07:31

    Wanazuoni wa Kisunni hapa nchini Iran wamekosoa vikali mapatano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.

  • Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel

    Hizbullah ya Lebanon yatungua ndege ya kijasusi ya Israel

    Aug 24, 2020 07:26

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel

  • Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon

    Sheikh Naim Qassim: Hizbullah haitoruhusu Israel iivamie Lebanon

    Aug 22, 2020 03:12

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu kamwe haitoiruhusu Israel na waungaji mkono wake waivamie tena Lebanon.

  • Baraza la Taasisi za Kiislamu Marekani lapinga mapatano ya fedheha kati ya Imarati na Israel

    Baraza la Taasisi za Kiislamu Marekani lapinga mapatano ya fedheha kati ya Imarati na Israel

    Aug 15, 2020 02:15

    Baraza la Taasisi za Kiislamu za nchini Marekani (USCMO) limepinga mpango wa mapatano uliofikiwa kati ya Imarati na Israel.

  • Iran yapinga kimya cha wakala wa IAEA kuhusu shughuli za nyuklia za Saudia

    Iran yapinga kimya cha wakala wa IAEA kuhusu shughuli za nyuklia za Saudia

    Aug 14, 2020 22:29

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amepinga kimya cha Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu shughuli za siri za nyuklia za Saudi Arabia na silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa

    Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa

    Aug 14, 2020 22:28

    Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu imelaani makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Marekani.

  • Rashida Tlaib: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Trump na Netanyahu

    Rashida Tlaib: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Trump na Netanyahu

    Aug 14, 2020 05:22

    Mbunge Mwislamu wa Kongresi ya Marekani, Rashida Tlaib, amepinga vikali hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

  • 'Israel' inaongoza kwa maambukizi ya corona duniani

    'Israel' inaongoza kwa maambukizi ya corona duniani

    Aug 06, 2020 21:55

    Mkuu wa kupambana na ugonjwa wa corona au COVID-19 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) amesema: "Kwa kuzingatia idadi ya watu, Israel inaongoza kwa kuwa maambukizi ya juu zaidi ya corona duniani."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS