Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah

    Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah

    Jul 27, 2020 03:45

    Israel imeuomba Umoja wa Mataifa ufanye usuluhishi kwa kuhofia Hizbullah ya Lebanon isije ikalipiza kisasi dhidi yake, huku mgogoro ndani ya utawala huo wa Kizayuni ukizidi kushadidi kufuatia maandamano ya maelfu ya watu ya kumpinga waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

  • Haaretz: Nasrullah ana taathira na ushawishi usio wa kawaida kwa Waisraeli

    Haaretz: Nasrullah ana taathira na ushawishi usio wa kawaida kwa Waisraeli

    Jul 19, 2020 23:08

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, kinachoyafanya maneno ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yawe na taathira isiyo ya kawaida kwa Wazayuni ni ukweli wake, kutokuwa na mzaha katika kauli zake na uwelewa alionao kwa masuala ya Israel.

  • Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni

    Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni

    Jul 19, 2020 02:22

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, vikosi vya muqawama wa Kiislamu Palestina vimejiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni maghasibu.

  • Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Jul 17, 2020 03:38

    Shirika la intaneti la Google limejiwa juu na watumiaji wa mitandao mbali mbali ya kijamii baada ya kuiondoa "Palestina" katika ramani zake za dunia, na badala yake kupachika jina la "Israel."

  • Brig. Jen. Shekarchi: Israel itashuhudia nguvu za Iran ikiendelea kufanya shari na uovu

    Brig. Jen. Shekarchi: Israel itashuhudia nguvu za Iran ikiendelea kufanya shari na uovu

    Jul 16, 2020 22:48

    Msemaji wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea kufanya shari na maovu yake, basi utakabiliwa na pigo kubwa kutoka kwa mrengo wa muqawama na Iran.

  • Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Jul 16, 2020 03:29

    Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.

  • Mawaziri wa EU: Mwanya wa kuzuia uporaji wa ardhi za Wapalestina unazidi kuwa finyu

    Mawaziri wa EU: Mwanya wa kuzuia uporaji wa ardhi za Wapalestina unazidi kuwa finyu

    Jul 14, 2020 03:40

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wametoa mwito kwa EU-mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Israel-kuchukua hatua za makusudi na haraka kuzuia mpango wa Tel Aviv wa kutwaa ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Abdollahian: Utawala wa Aal-Khalifa uimarishe uhusiano wa Wabahrain, si Israel

    Abdollahian: Utawala wa Aal-Khalifa uimarishe uhusiano wa Wabahrain, si Israel

    Jul 14, 2020 03:36

    Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameukosoa vikali utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kukanyaga haki za binadamu za raia wa nchi hiyo.

  • HAMAS: Kuuawa shahidi wapalestina ni ishara ya kushikamana kwao na muqawama

    HAMAS: Kuuawa shahidi wapalestina ni ishara ya kushikamana kwao na muqawama

    Jul 10, 2020 07:18

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, kuuawa shahidi Wapalestina ni ishara ya wazi ya kushikamana kwao na mapambano na muqawama dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Hamas, Hizbullah: Mpango wa Israel wa kughusubu ardhi ni hujuma dhidi ya Wapalestina

    Jul 07, 2020 03:32

    Harakati za muqawama wa Kiislamu za Hamas ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon zimepinga vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa na kughusubu ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusisitiza kuwa, uporaji huo ni hujuma ya moja kwa moja dhidi ya Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS